I live and die in africa

I live and die in africa Stay tuned for various infotmation of different aspect

club ya everton imeanza kumnyemelea winga machachari wa ureno louis nani na kutaka kumrudisha ligi kuu england katika ma...
23/06/2016

club ya everton imeanza kumnyemelea winga machachari wa ureno louis nani na kutaka kumrudisha ligi kuu england katika majira haya ya joto

inasemekana club ya man utd imetenga kiasi cha € 100 mil kumnyakua kiungo wa psg verati
23/06/2016

inasemekana club ya man utd imetenga kiasi cha € 100 mil kumnyakua kiungo wa psg verati

inasemekana kwamba mshambuliaji wa real madrid james rodriguez ameanza taratibu za kutafuta nyumba mjini manchester
23/06/2016

inasemekana kwamba mshambuliaji wa real madrid james rodriguez ameanza taratibu za kutafuta nyumba mjini manchester

ratiba ya hatua ya mtoano euro hii hapa
23/06/2016

ratiba ya hatua ya mtoano euro hii hapa

chile kwenda fainali kupambana na argentina.miamba hiyo ilifanikiwa kuwatwanga columbia kwa magoli 2 kwa 0 yakitiwa kimy...
23/06/2016

chile kwenda fainali kupambana na argentina.miamba hiyo ilifanikiwa kuwatwanga columbia kwa magoli 2 kwa 0 yakitiwa kimyani na c.aranguiz "7 na j.fuenzalida "11

korea kusini imethibitisha majirani zao korea kaskazini kufanya jaribio la kombora la nyuklia
23/06/2016

korea kusini imethibitisha majirani zao korea kaskazini kufanya jaribio la kombora la nyuklia

wabunge wa democratic wataka umiliki wa silaha utungiwe sheria mpya marekani
23/06/2016

wabunge wa democratic wataka umiliki wa silaha utungiwe sheria mpya marekani

mourinho kumnyemelea kionga matata wa the guners aroun ramsey
23/06/2016

mourinho kumnyemelea kionga matata wa the guners aroun ramsey

beki kisiki wa pembeni wa club ya chelsea cesar azpilicueta avitoa udenda vigogo mbalimbali ulaya.hivi karibuni timu k**...
23/06/2016

beki kisiki wa pembeni wa club ya chelsea cesar azpilicueta avitoa udenda vigogo mbalimbali ulaya.hivi karibuni timu k**a barca,bayern munich na ath.madrid zimekuwa zikiwania kupata sahini ya mchezaji huyo wa hispania

zlatan ibrahimovic atundika daluga rasmi kuichezea timu yake ya taifa.
23/06/2016

zlatan ibrahimovic atundika daluga rasmi kuichezea timu yake ya taifa.

Address

Ilala
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when I live and die in africa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category