UCLAS DREAM Team

UCLAS DREAM Team Huu ni ukurasa hususan wa burudani na michezo mbalimbali kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha Ardhi ( UCLAS) miaka iliyo pita na sasa ni Chuo Kikuu cha Ardhi.

07/06/2014
Kamati ya maandalizi ya Bonanza la wachezaji wa zamani wa michezo mbalimbali ya timu ya UCLAS/ARU kwa furaha kubwa inape...
07/06/2014

Kamati ya maandalizi ya Bonanza la wachezaji wa zamani wa michezo mbalimbali ya timu ya UCLAS/ARU kwa furaha kubwa inapenda kuchukua nafasi hii kuwashukuru wanamichezo wote waliofika leo na kuweza kufanikisha shughuli kwa kiwango kikubwa sana. Kamati pia inatoa pole kwa walioshindwa kufika kwa namna moja au nyingine. Hakuna cha kusema zaidi ya tuko pamoja na tudumishe mshikamano wetu… "MICHEZOOOOO?…..

Wanamichezo wameanza kufika eneo la tukio....!! Karibu jamaniii
07/06/2014

Wanamichezo wameanza kufika eneo la tukio....!! Karibu jamaniii

06/06/2014

Kesho baada ya kukamilisha Bonanza letu pale UCLAS, Captain Gordon Chiggz anatuarifu kua kutakua kuna shughuli ya "Afya Check", pamoja na kupata ushauri kuhusu miili yetu (size, weight, mafuta, vitambi, etc.) kwa wale watakao penda, na hii itafanyika MIBZ CLUB pale karibu na B-Bar na Miller Sinza. Gharama ya uchunguzi na ushauri ni 30,000/- kwa mtu mmoja.

Habari za leo wanamichezo wa UCLAS/ ARDHI ( Wachezaji wa zamani na wa sasa)? Tunapenda kuwataarifu kwamba, siku ya JUMAM...
03/06/2014

Habari za leo wanamichezo wa UCLAS/ ARDHI ( Wachezaji wa zamani na wa sasa)? Tunapenda kuwataarifu kwamba, siku ya JUMAMOSI, Tarehe 07/06/2014 katika uwanja wa ARDHI UNIVERSITY zamani UCLAS, kuanzia saa Moja Asubuhi tutakua na bonanza la michezo ( Mechi za mchezo wa mpira wa miguu) kwa kuanzia, mechi hizo zitajumuisha timu za UCLAS kuanzia mwaka 1996 mpaka chuo kilipo badilika na kua ARDHI University. Hivyo wanamichezo woote, mnaombwa kuhudhuria na upatapo taarifa hii, mjuze na mwenzako (Ikumbukwe pia, ni wachache tuu wanaopata mawasiliano haya ya Facebook). Taratibu za vibali vya kutumia uwanja zimeisha kamilika

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when UCLAS DREAM Team posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category