Sports IQ

Call Directions

Sports IQ Michezo + buduradi + vituko + lifestyles

MZAMIAJI, HII STORY NIMEIZAMIA KINA KIREFU KUTOKA CHINI YA SAKAFU YA BAHARI YA TAARIFA NYETI ZAIDI! 🔥Kuna habari moja nz...
02/10/2026

MZAMIAJI, HII STORY NIMEIZAMIA KINA KIREFU KUTOKA CHINI YA SAKAFU YA BAHARI YA TAARIFA NYETI ZAIDI! 🔥
Kuna habari moja nzito sana ambayo k**a wewe ni shabiki wa mpira wa bongo, unaweza kuhitaji kuisikiliza hadi mwisho! 👀
Inadaiwa kuna mchezaji mmoja wa timu kubwa ya kariakoo ambaye mustakabali wake ndani ya kikosi hicho umeanza kuwa kwenye sintofahamu kubwa.
Mchezaji huyu si mgeni kwa mashabiki… anapendwa sana! ❤️
Lakini tatizo kubwa ni kwamba, kwa kipindi cha hivi karibuni, kiwango chake hakijaonekana kuwa kile ambacho benchi la ufundi lilikuwa likikitarajia.
Na sasa kuna taarifa zinazodai kuwa ushauri wa kiufundi umeanza kuelekea upande wa kuachana naye, endapo hataweza kurejesha kiwango chake.
Lakini hapa ndipo story inakuwa tamu zaidi! 😱🔥
Mchezaji huyu ana kitu kimoja kinachomfanya atambulike kirahisi sana miongoni mwa mashabiki…
👉 Anapenda kupaka rangi nywele zake! 😳
Ndiyo! Yule mchezaji ambaye ukimuona uwanjani unaweza kumtambua hata kabla hujaona namba yake ya jezi.
Sasa swali kubwa ni hili…
Je, ni kweli matajiri wa kariakoo wameanza kufikiria kumuacha mchezaji huyu?
Au hii ni presha ya kawaida tu kutokana na ushindani mkubwa uliopo ndani ya kikosi?
Kumbuka.
Lakini k**a ungekuwa wewe unaamua…
🔥 Ungeendelea kumpa nafasi kwa sababu ya uwezo na mapenzi ya mashabiki, au ungeona muda wake umefika wa kuondoka?

Tufollow kwa habari nyeti nyingine yamoto zaidi.

UKICHEKA WEWE SIO MTANZANIA😭😭
02/10/2026

UKICHEKA WEWE SIO MTANZANIA😭😭

🚨 TFF YARUHUSU WACHEZAJI 4 WA YANGA KUONDOKA STARS, GAMONDI AIBUA MASWALI MAZITO!TFF imewaruhusu wachezaji 4 wa Yanga wa...
02/10/2026

🚨 TFF YARUHUSU WACHEZAJI 4 WA YANGA KUONDOKA STARS, GAMONDI AIBUA MASWALI MAZITO!
TFF imewaruhusu wachezaji 4 wa Yanga walioko kambini na Taifa Stars Morocco kurejea Dar es Salaam kujiunga na timu yao kwa maandalizi ya mchezo dhidi ya Simba SC, Oktoba 10.
Wachezaji hao ni Mudathiri Yahya, Bacca, Seleman Mwalimu na Mohamed Hussein. Awali walitakiwa kuondoka leo asubuhi, lakini sasa wataondoka baada ya mchezo wa Stars dhidi ya FAR Rabat utakaochezwa leo jioni.
Hatua hiyo imemkera vikali Kocha wa Taifa Stars, Miguel Gamondi, ambaye amehoji kwa nini wachezaji hao wanaondolewa kambini wakati bado kuna michezo miwili ya FIFA Dates, ikiwemo dhidi ya Morocco Oktoba 5.
Gamondi anauliza: Kwa nini hakushirikishwa katika uamuzi huo? Kwa nini wachezaji wa Yanga pekee waondoke, wakati Azam, Singida na Simba nao wana michezo lakini wachezaji wao bado wako kambini?
Kocha huyo pia amehoji k**a maandalizi ya Taifa Stars kuelekea AFCON 2027 yana umuhimu mdogo kuliko maandalizi ya mchezo wa Simba na Yanga.
Kwa Gamondi, k**a mechi za Stars hazina umuhimu kiasi cha kuwaruhusu wachezaji kuondoka kambini, basi anaona ni bora hata kambi ivunjwe na kila klabu ichukue wachezaji wake.
🔥 Je, TFF imechukua uamuzi sahihi, au Gamondi ana hoja ya msingi?

udhani nani ataacha ndala hapo?   # utaniwajadi
30/09/2026

udhani nani ataacha ndala hapo?
# utaniwajadi

  ni mbaya
30/09/2026

ni mbaya

🚨 MJADALA MKALI MITANDAONI! 😱⚽Mashabiki wameanzisha mjadala mkubwa wakidai kuwa Vinícius Júnior anayewaona sasa Real Mad...
30/09/2026

🚨 MJADALA MKALI MITANDAONI! 😱⚽
Mashabiki wameanzisha mjadala mkubwa wakidai kuwa Vinícius Júnior anayewaona sasa Real Madrid na Brazil huenda si yule wa awali!
Wameanza kulinganisha mwonekano wake, mwili na tattoo, wakidai kuna tofauti zilizowafanya waanze kujiuliza: “Vinícius original yuko wapi?” 👀
Baadhi yao wameenda mbali zaidi kudai huenda mchezaji huyo alitekwa na nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwingine.
Lakini ⚠️ hakuna ushahidi wa kuaminika unaothibitisha madai hayo. Kwa sasa, haya ni nadharia na madai yanayosambaa mitandaoni.
🔥 Je, umeona tofauti yoyote kwa Vinícius wa sasa ukimlinganisha na wa zamani?
like comment & share

MBONA K**A HAYA MATAIFA MENGINE YANAIHENZI KAULI ZA RAIS. MWINYI (TZ NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU)TAIFA STARS 0-2UNDER 23....
28/09/2026

MBONA K**A HAYA MATAIFA MENGINE YANAIHENZI KAULI ZA RAIS. MWINYI (TZ NI KICHWA CHA MWENDAWAZIMU)
TAIFA STARS 0-2
UNDER 23. 0- 4
KESHO TENA🥹

WATATOBOA KWA YANGA KWELI HAWA AU NDIO MAZOEZI YA BURE KWA MADIBA?
27/09/2026

WATATOBOA KWA YANGA KWELI HAWA AU NDIO MAZOEZI YA BURE KWA MADIBA?

NJOTA WA SIMBA ACHEZA NA NYOTA WA RIVERPOOLRushine De Reuck 🗣️"Nilicheza na Diogo Jota, nyota wa Liverpool aliyefariki k...
24/09/2026

NJOTA WA SIMBA ACHEZA NA NYOTA WA RIVERPOOL
Rushine De Reuck 🗣️"Nilicheza na Diogo Jota, nyota wa Liverpool aliyefariki kwa ajali ya gari (Apumzike kwa amani). Nilikuwa naye kwa mwaka mzima tukiishi kwenye nyumba moja..

Kwa upande wa soka nilifurahia (Ureno) , lakini kuwa mbali na familia yangu lilikuwa jambo geni. Na ilikuwa ngumu, ndio maana nikarejea Afrika Kusini. Na niliporejea Afrika Kusini sikuweza kupata timu! Hebu fikiria kutoka Ureno hadi kukosa timu Afrika ya Kusini...

Nilikataliwa mara nyingi, hadi timu za Ligi daraja la pili. Yaani nilikuwa kwenye kilele cha karia yangu halafu ghafla tu nikadondoka. Nikawa nashindwa kuelewa nini kinatokea.

Na kisha kocha Fadlu akanipa nafasi! Msimu huo sikuwa hata nacheza soka. Sijui hata k**a kocha Fadlu alikuwa ananifahamu ila nilikuwa namfahamu kaka yake, Maher..

Nilipokuwa kwenye kituo cha ASD, yeye alikuwa mwalimu kwenye timu ya Ajax Cape Town na tulikutana mara nyingi. Pengine alinifahamu kupitia yeye. Na nadhani hiyo ndio sababu nilipata nafasi ya kufanya majaribio kwenye klabu ya Maritzburg United. Na tangu hapo mambo yakaenda sawa”

nini kiboreshwe kwenye kikosi cha leo cha u 20
24/09/2026

nini kiboreshwe kwenye kikosi cha leo cha u 20

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255714810030

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports IQ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category