Wazo Jogging and sports club

Wazo Jogging and sports club jogging club

K**a kawaida yetu MAZOEZI NI AFYA.....
21/11/2017

K**a kawaida yetu MAZOEZI NI AFYA.....

Umoja wa vilabu na mbio za pole kanda ya Kinondoni kaskazini wakiwa kwenye mazoezi ya pamoja boko..!!
30/09/2017

Umoja wa vilabu na mbio za pole kanda ya Kinondoni kaskazini wakiwa kwenye mazoezi ya pamoja boko..!!

Nidhamu, upendo na mshikamano hutufanya tuwe kitu kimoja kila siku.... Mazoezi kwa afya zetu...!!!!
17/09/2017

Nidhamu, upendo na mshikamano hutufanya tuwe kitu kimoja kila siku.... Mazoezi kwa afya zetu...!!!!

Wazo Joggers  wakiwa katika mbio za pole(Jogging) na Diwani wa kata ya Kunduchi Mh. Michael Urio katika bonanza la uzind...
22/08/2017

Wazo Joggers wakiwa katika mbio za pole(Jogging) na Diwani wa kata ya Kunduchi Mh. Michael Urio katika bonanza la uzinduzi wa umoja wa vilabu vya mbio za pole kanda ya Kinondoni kaskazini lililofanyika tarehe 20/08/2017 viwanja vya Jeshi Kunduchi.

Happy birthday katibu wetu. Mungu akulinde na akutimizie haja ya moyo wako. Cake 🎂 tunaisubiri na maji yanakuhusu.
09/08/2017

Happy birthday katibu wetu. Mungu akulinde na akutimizie haja ya moyo wako. Cake 🎂 tunaisubiri na maji yanakuhusu.

27/05/2017
Uongozi wa Wazo Jogging and sports club unawatakia sikukuu njema  wote. tusherehekee kwa amani, Tunawapenda wote, HAPPY ...
16/04/2017

Uongozi wa Wazo Jogging and sports club unawatakia sikukuu njema wote. tusherehekee kwa amani, Tunawapenda wote,

HAPPY EASTER.......

CHEERS!!

"AFYA YAKO MTAJI WAKO"
15/03/2017

"AFYA YAKO MTAJI WAKO"

Mazoezi na chakula pia eti kazi na dawa.....
28/02/2017

Mazoezi na chakula pia eti kazi na dawa.....

Address

Wazo Hill, Tegeta Off Bagamoyo Road
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wazo Jogging and sports club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category