Sports Burudani

Sports Burudani Karibu TOTO LA KISHIRAZI ASILI kwa bidhaa za urembo asili zenye mchanganyiko wa mimea na matunda. Toto la Kishirazi Asili, come we save you.

Klabu ya soka ya Singida Big Stars leo Machi 20, 2023 imeingia makubaliano na Klabu ya US Monastir ya Tunisia kwa ajili ...
20/03/2023

Klabu ya soka ya Singida Big Stars leo Machi 20, 2023 imeingia makubaliano na Klabu ya US Monastir ya Tunisia kwa ajili ya kushirikiana masuala mbalimbali ya soka.

Katika makubaliano hayo yaliyowekwa saini jijini Dar es Salaam, yatagusa mambo ya kiutawala ambapo klabu ya Us Monastir watawapa Singida Big Stars uzoefu wa masuala ya uendeshaji, maandalizi ya msimu (Pre-Season) ambapo klabu ya Singida Big Stars itakuwa ikiweka kambi nchini Tunisia.

Makubaliano hayo pia yatagusa wachezaji wa timu kubwa na ile ya U20.

Msanii wa Nigeria Burna Boy ametangazwa kuwa ndiye atakaye fanya show kwenye sherehe za ufunguzi kwenye mchezo wa fainal...
16/03/2023

Msanii wa Nigeria Burna Boy ametangazwa kuwa ndiye atakaye fanya show kwenye sherehe za ufunguzi kwenye mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya (UCL) itakayofanyika Juni 10, 2023. Istanbul nchini Uturuki. Mkurugenzi wa masoko wa Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA, Guy-Laurent Esptein amethibitisha.

Msimu uliopita mwanamuziki Camila Cabello ndiye alifanya show, ambayo hufanyika dakika 10 kabla ya mchezo huo wa fainali kuanza.

Kwa mujibu wa taarifa, kipa kinda wa Chelsea, Gabriel Slonina amekuwa akipambana sana na kufanya mazoezi kwa bidii.Kwa m...
16/03/2023

Kwa mujibu wa taarifa, kipa kinda wa Chelsea, Gabriel Slonina amekuwa akipambana sana na kufanya mazoezi kwa bidii.

Kwa mujibu wa taarifa nyota huyo amejiwekea ratiba ya kulala saa nne usiku na kuamka saa moja asubuhi kila siku na anakuwa mtu wa kwanza kabisa kufika uwanja wa mazoezi wa Chelsea, Cobham na huwa ni mtu wa mwisho kuondoka akifanya mazoezi ya pamoja na mazoezi yake binafsi.

Kwasasa kipa huyo amepata nafasi ya kuitumikia timu ya akademi ya Chelsea.

Wananchi   wanaitaka robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika wanasema   waje wamalizane.Mchezo huu utapigwa kuanzia S...
16/03/2023

Wananchi wanaitaka robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika wanasema waje wamalizane.

Mchezo huu utapigwa kuanzia Saa 1:00 Usiku na kuruka mbashara kupitia

Wasemaji na Vituko Vyao kazini๐Ÿ˜† _ Ahmed Ally aliwahi kusema kuwa klabu haitotumia mamodels kufanya utambulisho wa jezi l...
16/03/2023

Wasemaji na Vituko Vyao kazini๐Ÿ˜† _ Ahmed Ally aliwahi kusema kuwa klabu haitotumia mamodels kufanya utambulisho wa jezi lakini mamodels tukawaona!!๐Ÿ˜œ Ally kamwe aliwahi kukana kupita mitaani kufanya hamasa kwa mashabiki wake ili wakajaze uwanja lakini Mimi na wewe ni mashahidi wa hicho kitu๐Ÿ˜ƒ Na sasa maafisa habari wa Yanga SC na Singida BS kukanusha ishu ya Bruno Gomes kwenda Yanga SC ๐Ÿ˜† nawaomba tuwe mashahidi tena muda ukifika ๐ŸŒ Akili mtu wangu ๐Ÿ˜‰ Bruno update.... soon hapa hapa endelea kuwa karibu!! Follow . . . . . . . . โค๏ธ View all 17 comments

Ligi ya Mabingwa wikiendi hiiMnyama   atakuwa Dimba la Benjamin Mkapa akiitafuta Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika...
16/03/2023

Ligi ya Mabingwa wikiendi hii

Mnyama atakuwa Dimba la Benjamin Mkapa akiitafuta Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, pale atakapowakaribisha

Mchezo huu utapigwa kuanzia Saa 1:00 Usiku na kuruka mbashara kupitia

Hizi ndiyo timu zilizofuzu hatua ya Robo Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya msimu huu !!Timu ipi unaipa nafasi kubwa ya kuchu...
16/03/2023

Hizi ndiyo timu zilizofuzu hatua ya Robo Fainali ya Klabu Bingwa Ulaya msimu huu !!

Timu ipi unaipa nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa?

Tazama live siku ya wananchi toka uwanja wa Benjamin Mkapa gusa link ๐Ÿ‘‡
30/08/2020

Tazama live siku ya wananchi toka uwanja wa Benjamin Mkapa gusa link ๐Ÿ‘‡

*Mtoto mzuri Nuru afunguka mwanamke ni pambo tazama video yake kisha tupe mtazamo wako*๐Ÿ‘‡
05/06/2020

*Mtoto mzuri Nuru afunguka mwanamke ni pambo tazama video yake kisha tupe mtazamo wako*๐Ÿ‘‡

Mapenzi si pesa ila bila hela hayaendHivi anachokisema huyu mrembo ni kwelTazama hiyo video hapo chin nipe maoni yakoGus...
03/06/2020

Mapenzi si pesa ila bila hela hayaend
Hivi anachokisema huyu mrembo ni kwel
Tazama hiyo video hapo chin nipe maoni yako
Gusa link hapo๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

#

 Twende YouTube kutazama interview Ya mrembo  kuhusuMahusiano yake gusa link kutazama๐Ÿ‘‡
01/06/2020


Twende YouTube kutazama interview
Ya mrembo kuhusu
Mahusiano yake gusa link kutazama๐Ÿ‘‡

#

Address

Benjamin Mkapa Stadium
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports Burudani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Sports Burudani:

Share

Category