Tanzania Basketball Federation

Tanzania Basketball Federation Welcome to the official page of the Tanzania Basketball Federation!

Tanzania Basketball Federation (TBF) inaziomba Academy zote za Basketball nchini kujisajili kupitia mfumo maalum wa usaj...
18/08/2026

Tanzania Basketball Federation (TBF) inaziomba Academy zote za Basketball nchini kujisajili kupitia mfumo maalum wa usajili.

LENGO

Kujenga National Basketball Academy Database itakayosaidia:

Kutambua vipaji vya vijana
Kufuatilia maendeleo ya wachezaji
Kuimarisha maendeleo ya Academy na Makocha
Kurahisisha utambuzi na uteuzi wa Timu za Taifa za Vijana

USAJILI

17 AGOSTI – 30 OKTOBA 2026

MINI CAMP

KUANZIA NOVEMBA 2026

Academy zitakazosajiliwa zitakuwa sehemu ya mfumo wa Talent Identification & Youth Development Programme.

📲 JISAJILI HAPA

SCAN QR CODE
au

https://forms.gle/HswRW4Qp3ReGV3626

Tujenge mfumo wa pamoja wa kutambua, kufuatilia na kuendeleza vipaji vya Basketball Tanzania.

TANZANIA BASKETBALL FEDERATION (TBF)

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) akiongozana Na vionhozi wengine wameipongeza Timu ya Taifa ya Kikap...
09/08/2026

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania (TBF) akiongozana Na vionhozi wengine wameipongeza Timu ya Taifa ya Kikapu ya Wavulana chini ya umri wa miaka 16 (U16) baada ya kutwaa ubingwa wa Zone 5 katika mashindano yaliyofanyika
Nairobi, Kenya.
Katika hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na TBF Jijini Dar es salaam, Rais wa TBF, Hasheem Thabeet pamoja na Katibu Mkuu wa Shirikisho, Mweze Kabinda wamepongeza juhudi na mafanikio ya Vijana hao, huku wakisisitiza umuhimu wa kuendelea kukuza vipaji na kujenga programu endelevu za Timu za Taifa.
TBF pia imeipongeza Timu ya Taifa ya Wasichana U16 kwa kumaliza
mashindano hayo katika nafasi ya pili.

Officials……
07/08/2026

Officials……

Think you know your  stars?Umepawa wangapi ?
05/08/2026

Think you know your stars?
Umepawa wangapi ?

04/08/2026
Fainal ilifana sana chai  CHUI... 🐯
04/08/2026

Fainal ilifana sana chai CHUI... 🐯

02/08/2026
2026 Taifa Cup first Runner goes to Team Dar es salaam 📍 Chinangali Park, Dodoma📺 Azam Sports 3 HDNi zaidi ya mchezo. Ni...
02/08/2026

2026 Taifa Cup first Runner goes to Team Dar es salaam

📍 Chinangali Park, Dodoma
📺 Azam Sports 3 HD

Ni zaidi ya mchezo. Ni maisha.

NiZaidiYaGameNiMaisha

Address

Dar Es Salaam
255

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 14:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Basketball Federation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category