Goal255

Directions Website

Goal255 Home for all football related posts and content

10/02/2026

Crescentius Magori ameweka wazi kuwa kadi mpya za wanachama wa Simba ni za kisasa zaidi,

10/02/2026

“Kesho ni kazi moja tu! 💪⚽ Hakuna mechi rahisi kwenye Ligi Kuu. Tunawaheshimu KMC lakini tumejipanga, tuko tayari kupambana hadi dakika ya mwisho.

Mashabiki waendelee kuwa nasi — nguvu yenu ni silaha yetu! 🖤🤍 🗣Duchu

🇹🇿

09/02/2026

Gamondi kabaki kusaini Stars 🇹🇿⚽

Serikali imemuidhinisha Miguel Gamondi kuwa kocha mkuu wa Taifa Stars baada ya mafanikio yake kwenye AFCON 2025 Morocco, ambako aliifikisha timu hatua ya 16 bora.

Waziri Paul Makonda amesema kilichobaki ni Gamondi kusaini mkataba, huku Serikali na TFF zikithibitisha kuwa zitaendelea naye na malipo yatasimamiwa na Serikali, kuelekea maandalizi ya AFCON 2027.

🇹🇿

Kombe la Shirikisho Afrika linaendelea leo 🔥Mwakilishi wetu wa mwisho 🇹🇿 Singida Black Stars wanashuka dimbani pale New ...
08/02/2026

Kombe la Shirikisho Afrika linaendelea leo 🔥
Mwakilishi wetu wa mwisho 🇹🇿 Singida Black Stars wanashuka dimbani pale New Amaan Complex, Zanzibar kuivaa CR Belouizdad.

Ni mechi ya kipekee huku kocha Sead ramovik akishuka kwenye uwanja anaoujua vyema, pamoja na ongezeko jipya Jean Charles Ahoua aliyesajiliwa kuleta tofauti.

⏰ Saa 1 usiku
⚔️ Dakika 90 za moto — tutajua nani mbabe! 💪🔥

08/02/2026

Maona ya shabiki wa simba mandala baada ya yanga kufungwa na as far rabat

🇹🇿

🐯 MNAYMA LEO DIMBANI!Leo ni kazi moja tu 🔥 Simba SC anashuka dimbani kuikabili Petro de Luanda pale Estádio 11 de Novemb...
07/02/2026

🐯 MNAYMA LEO DIMBANI!
Leo ni kazi moja tu 🔥 Simba SC anashuka dimbani kuikabili Petro de Luanda pale Estádio 11 de Novembro, saa 1:00 usiku ⏰

Hesabu zinaweza kuwa zimeisha, lakini heshima bado ipo mezani. Kinachosakwa leo ni kuonyesha kuwa Simba bado ni GIANT 🦁

Na hata k**a ni kuaga, basi iwe ni kuaga kwa ubabe, kwa mapambano ya kweli, na kwa ujumbe mzito: Simba haichezewi — hata ugenini! 💪🔥

🙏 Tunawatakia ushindi wawakilishi wetu wa Tanzania 🇹🇿, Klabu ya Simba.

🚨 YANGA LEO DIMBANI CAF CLYanga leo inashuka dimbani kuikabili AS FAR Rabat katika michuano ya CAF Champions League, mch...
07/02/2026

🚨 YANGA LEO DIMBANI CAF CL
Yanga leo inashuka dimbani kuikabili AS FAR Rabat katika michuano ya CAF Champions League, mchezo utakaopigwa Uwanja wa Stade Olympique de Rabat – Morocco, saa 4:00 kamili usiku.

Kila timu inahitaji alama 3 kujiweka salama.
Leo ni kufa au kupona ndani ya dakika 90 — chochote chaweza kutokea.

✨ Kila la heri, tunawatakia ushindi wawakilishi wetu wa Tanzania 🇹🇿 Yanga 💛💚⚽

💪💪🔰🔰🏆

🚨 GSM AWEKA BIL 1 MEZANITaarifa kutoka ndani ya Yanga ni kwamba Bilionea wao Ghalib Said Mohamed ‘GSM’ ameamua kuweka mz...
07/02/2026

🚨 GSM AWEKA BIL 1 MEZANI

Taarifa kutoka ndani ya Yanga ni kwamba Bilionea wao Ghalib Said Mohamed ‘GSM’ ameamua kuweka mzigo mezani wa Sh bilioni moja tu k**a watashinda mchezo wa leo dhidi ya AS FAR Rabat.

K**a wakishinda tu basi hamnahamna kila staa ataondoka na sio chini ya Sh40-50 milioni.

Cc

💪💪🔰🔰🏆 🇹🇿

07/02/2026

Msemaji mkuu wa simba Ahmed Ally akielezea kuelekea mchezo wa CAF Champions League leo dhidi ya petro Atlético utaopigwa saa moja ucku wa leo

🇹🇿

07/02/2026

🎶🦁 TUNDAMAN AWAJIBU WANASIMBA
Msanii wa muziki na shabiki wa damu wa Simba SC, Tundaman, ameibuka na msimamo wake kuhusu mashabiki wanaotaka MO aondoke Simba.

Kwa mujibu wa Tundaman, MO amekuwa mhimili muhimu wa mafanikio ya Simba kwa miaka ya hivi karibuni, hivyo suluhisho si kumfukuza bali kusimama pamoja k**a familia ya Simba.

🇹🇿

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Goal255 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category