Home of fitness Gym

Home of fitness Gym we do Aerobic classes, medicisege and wright lifting. Welcome all.

18/04/2026

Hahaaa is there any one to make translation?

This rain season is really sweet
18/04/2026

This rain season is really sweet

18/04/2026

To be fit is an on going process you ha e to be patient

23/09/2025

Hili chama lilikuwa hatari sana kazi kazi 2 hrs k**a half an hour tu

03/02/2022

We can fix even this mountain believe it.

Wakuu mnakumbuka 22 January 2022Tuna Jambo letu?Karibuni sana
15/01/2022

Wakuu mnakumbuka
22 January 2022
Tuna Jambo letu?
Karibuni sana

01/12/2021
03/02/2020

Maboresho makubwa yako karibu kukamilika
Muda wa Gym kuwa wazo pia utabadilika tutafungua saa 12 asb Hadi saa 3 usiku. Karibuni tuimarishe afya zetu za mwili na akili.

03/02/2020

Mazoezi - Afya
Mazoezi - Tiba
Mazoezi - Pamoja tunaweza.

28/01/2020

Leo 27/01/2020Tulikuwa na Kikao baada ya Zoezi HOFGym
Kiliongozwa na M/Kiti
Tulianza kwa Dua kuwaombea Marehemu kwa misiba iliyotekea hivi Karibuni 🙏

M/Kiti alianza kutoa Taarifa Kuhusu:-
(1)Vifaa vya Gym
Kuongeza vifaa vya Gym kwa mfano Carpet, Steps (vibao) n.k

(2) Safari ya Muheza
Kuna mualiko toka Muheza Jogging & Sports kipindi cha Pasaka (Easter)
Kuchangia kwa Safari hii ni Sh.50,000/-
Ili isaidie usafiri wa Kwenda na Kurudi (Dar - Muheza - Dar) na Safari za ndani (Tour)

(3)ADA
Utoaji Ada umeonyesha si mzuri
Report toka Mwekahazina imeonyesha toka amepokea Nafasi hiyo August 2019 mpaka December 2019 imeonyesha kuna limbikizo la Malipo (deni) Sh. 1.2 million (ada ambazo yazijalipwa)
Mikakati
Kuunda k**ati ya Fedha ambayo itasimamiwa na
Jaffar, Magembe na Latifa
Kutakuwa na aina mbili za utoaji ADA
(a) Utoaji wa Mwezi Sh.20,000/-
Na (b) Utoaji wa Siku Sh.2,000/-
Pia M/Kiti amesisitiza
Nwana Gym yeyote ambae hajalipa Ada ya January Sh.20,000/- alipe kabla ya Tarehe 01/02/2020 pamoja nakuwa na Madeni
Kwasababu Mfuko wetu unahali Mbaya
Kwenye kikao swala Ada limechangiwa Sana
Tubadilike ADA ndiyo Uhai wa Gym

Pia kulikua Swala la Jezi
Kuna Sampuli (sample) zitatumwa ili tuchague

Kuna k**ati zimeundwa
Ukiacha ya Fedha
Kana Kamati ya Nidhamu hii itakua chini ya Mwenyekit
Adv. Mulamula , Dr. Gwao & Mh. Fatuma
Pia Kuna Kamati 🤷‍♂🤷‍♂ Katibu utaiweka vizuri
Itakua inashughulikia Vifaa vya Gym, Walimu & others
Kwasababu kuna mpango wa kila wiki kuwa na Mwl. toka Nje
Itaongozwa na Dr. Gwao & Mrs Rabia Gwao na wengine watatu (3) atakao wapendekeza Dr.

Pia sasa tutakuwa tunaanza Mazoezi kwa DUA 🤲

Watu wote tumepata Nafasi ya Kuchangia
Mwisho M/Kiti mstaafu alimalizia kwa kututakia UPENDO
🌠 Good Night

Kazi imeanza baada ya mapumziko za mwisho wa mwaka karibuni tukamue.
07/01/2020

Kazi imeanza baada ya mapumziko za mwisho wa mwaka karibuni tukamue.

Address

Mbezi Luis
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 04:00 - 20:00
Tuesday 04:00 - 20:00
Wednesday 04:00 - 20:00
Thursday 16:00 - 20:00
Friday 04:00 - 20:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Home of fitness Gym posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share