KAPU La Michezo

KAPU La Michezo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from KAPU La Michezo, Sports Event, Dar es Salaam.

caf champions league wiki hii๐Ÿ”ฅ
28/01/2026

caf champions league wiki hii๐Ÿ”ฅ

13/01/2026

๐’๐“๐€๐‘ ๐๐Ž๐˜ amefikaโญ๏ธ๐Ÿ‘ฆ๐Ÿพ


๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
11/01/2026

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

๐Ÿšจ_|| Mchezaji YANNICK BANGALA kupitia mahojiano yake na Azam TV ametaja kikosi bora kwenye ligi kuu ya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ. BANG...
26/12/2024

๐Ÿšจ_|| Mchezaji YANNICK BANGALA kupitia mahojiano yake na Azam TV ametaja kikosi bora kwenye ligi kuu ya Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.

BANGALA AMESEMA KWENYE KIKOSI HICHO YEYE KOCHA๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚

KIKOSI BORA CHA YANNICK BANGALA
1.DJIGUI DIARA ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ
2.LUSAJO MWAIKENDA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3.MOHAMMED HUSSEIN ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4.FUENTES MINDOZA ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ด
5.DICKSON JOB ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6.KHALID AUCHO ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ
7.PACOME ZOUZOUA ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ช
8.FEISAL SALUM ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9.PRINCE DUBE ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ
10.AZIZ KI ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ซ
11.GIBRIL SILLAH ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ฒ

BENCHI
1.IBRAHIM BACCA
2.MAXI NZENGELI
3.SIDIBE
4.FABRICE NGOMA
5.MOUSTAPHA MOHAMMED
KAPU La MichezoKAPU La Michezo

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kupitia K**ati yake ya Nidhamu, limetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Shirikisho la soka...
26/12/2024

Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kupitia K**ati yake ya Nidhamu, limetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Shirikisho la soka la Guinea (FGF) kufuatia kushindwa kwao na Tanzania katika siku ya mwisho ya mchujo ya kusaka tiketi ya kufuzu AFCON 2025..

Guinea iliangazia ukiukwaji wa taratibu za kiuchezaji kuhusu beki Mtanzania Muhamed Ibrahim Ame, ambaye inadaiwa alicheza na nambari ya jezi ambayo haijaorodheshwa kwenye karatasi rasmi ya mechi.

Shirikisho hilo pia linapanga kukata rufaa kwa mujibu wa kifungu cha 54 hadi 58 cha kanuni za nidhamu za CAF.

Katika mchezo huo wa mwisho,Tanzania iliichapa Guinea bao 1-0 mtanange ambao ulipigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam.

KAPU La Michezo

Vinara wa mabao katika Ligi Kuu ya Nbc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 2024-25 hadi sasa๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Elvis Rupia: 8๏ธโƒฃ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Jean Ahoua: 7๏ธโƒฃ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Seleman Mwalimu: 6๏ธโƒฃ๐Ÿ‡ฟ...
26/12/2024

Vinara wa mabao katika Ligi Kuu ya Nbc ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 2024-25 hadi sasa

๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช Elvis Rupia: 8๏ธโƒฃ
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฎ Jean Ahoua: 7๏ธโƒฃ
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Seleman Mwalimu: 6๏ธโƒฃ
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ผ Prince Dube: 5๏ธโƒฃ
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒ Lionel Ateba: 5๏ธโƒฃ
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Clement Mzize: 5๏ธโƒฃ
๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ Peter Lwasa: 5๏ธโƒฃ
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ William Edgar: 5๏ธโƒฃ

Matajiri wa Jiji la Dar es salaam wako wapi?

KAPU La Michezo upKAPU La Michezo

K**a mshambuliaji wako anafunga magoli ya Penalti Usiongeee kitu, ๐Š๐€๐€ ๐Š๐ˆ๐Œ๐˜๐€ ๐Ÿ˜€๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
19/12/2024

K**a mshambuliaji wako anafunga magoli ya Penalti Usiongeee kitu, ๐Š๐€๐€ ๐Š๐ˆ๐Œ๐˜๐€ ๐Ÿ˜€๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ

MANENO HAYA SIYO MAGENI HAPA MJINIKAPU La Michezo
19/12/2024

MANENO HAYA SIYO MAGENI HAPA MJINI
KAPU La Michezo

18/12/2024

๐Ÿšจ....|| BREAKING

โžก๏ธ Tanzania Prisons imesitisha mkataba wa Kocha Mkuu Mbwana Makata kutokana na mwendelezo wa matokeo yasiyoridhisha kwenye Ligi tangu alipopewa majukumu ya kuiongoza timu hiyo ya Jeshi la Magereza.

โžก๏ธ Kocha Shaban Kazumba na Shaban Mtupa ndio wataongoza jahazi la Tanzania Prisons kwa sasa wakati mipango ya kupata kocha mwingine ikiendelea.
La Michezo

๐Ÿ“ ๐‘๐€๐’๐Œ๐ˆ: Baada ya kukosa tuzo ya Ballon d'Or, Winga wa Real Madrid, Vinicius Jr imeshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka...
17/12/2024

๐Ÿ“ ๐‘๐€๐’๐Œ๐ˆ: Baada ya kukosa tuzo ya Ballon d'Or, Winga wa Real Madrid, Vinicius Jr imeshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa FIFA katika hafla ya tuzo hizo inayofanyika mjini Doha, usiku huu.

Utaratibu wa utoaji wa tuzo hiyo umezingatia kura za makocha 196 wa timu za Taifa, manahodha 193 wa timu za Taifa, waandishi wa Habari na mashabiki ambapo kila upande umechangia asilimia 25 za kura zote.

Katika hafla hiyo tuzo ya kocha bora wa mwaka wa FIFA imekwenda kwa Carlo Ancelotti huku Emi Martinez akitwaa tuzo ya golikipa bora wa mwaka (Martinez sasa ametwaa tuzo mbili za FIFA na mbili za Ballon D'or

Vilevile tuzo ya mchezaji bora wa mwaka kwa Wanawake imekwenda kwa Aitana Bonmati huku Alejandro Garnacho wa Manchester United akitwaa tuzo ya goli bora la mwaka ( Puskas Award )

KAPU LKAPU La Michezo

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when KAPU La Michezo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category