JAYM_sport

JAYM_sport ⚽️ HABARI ZA MPIRA TU
🏟PATA RATIBA, MATOKEO, NA TETESI
✅️BONYEZA FOLLOW UWE FAMILIA YA SOKA kutowa habali za michezo na matangazo ya bidha mbalimbali

Kikosi cha awali cha Taifa Stars kwa michezo ya kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Guinea Bissau na Madagascar na mchezo wa kira...
04/09/2026

Kikosi cha awali cha Taifa Stars kwa michezo ya kufuzu AFCON 2027 dhidi ya Guinea Bissau na Madagascar na mchezo wa kirafiki dhidi ya Ghana

DARASA HURU 💁🏾‍♂️MTAZAMO WAKO UNASEMA NINI...?Elcapitano Maestro 🗣 Linapokuja suala la ulinganisho wengi huwa hawafikiri...
04/09/2026

DARASA HURU 💁🏾‍♂️

MTAZAMO WAKO UNASEMA NINI...?

Elcapitano Maestro 🗣 Linapokuja suala la ulinganisho wengi huwa hawafikiri namba au ni nini ameshinda k**a mchezaji bali wengi huishia kukumbuka baadhi ya matukio na kutoa majibu ya hisia.

Je, kwa mtazamo wako ni ipi safu bora zaidi ya kiungo kati ya Xavi, Busquets, Iniesta au Kroos, Casemiro, Modric.

Kabla ya kutoa jibu hakikisha hili unalijua kwa umakini.

Kroos, Casemiro, Modric - washindi wakubwa zaidi kuwahi kutokea, waliifundisha dunia jinsi ya kushinda.

Xavi, Busquets, Iniesta - wabunifu wakubwa zaidi kuwahi kutokea, walifundisha dunia jinsi ya kumiliki mpira.

Je, kwa mtazamo wako safu ipi ya kiungo ni bora zaidi ?

💁🏾‍♂️

🚨Kiungo wa Man United Bruno Fernandes amekabiziwa Tuzo yake ya Mchezaji bora wa Msimu 2025/2026 Premier League Kutoka So...
04/09/2026

🚨Kiungo wa Man United Bruno Fernandes amekabiziwa Tuzo yake ya Mchezaji bora wa Msimu 2025/2026 Premier League Kutoka SofaScore.

🚨 OFFICIAL  Al Hilal FC imethibitisha kukamilisha Usajili wa winga Gabriel Martinelli kutoka Arsenal kwa ada €70m
04/09/2026

🚨 OFFICIAL Al Hilal FC imethibitisha kukamilisha Usajili wa winga Gabriel Martinelli kutoka Arsenal kwa ada €70m

Raphinha na Kylian Mbappe wameanza kuwaka mapema sana katika mechi tatu za La Liga zilizochezwa hadi sasa:Raphinha 🇧🇷 - ...
04/09/2026

Raphinha na Kylian Mbappe wameanza kuwaka mapema sana katika mechi tatu za La Liga zilizochezwa hadi sasa:

Raphinha 🇧🇷 - Barcelona
🏟️ Mechi: 3️⃣
⚽ Mabao: 5️⃣
🅰️ Assist: 1️⃣

Kylian Mbappe 🇫🇷 - Real Madrid
🏟️ Mechi: 3️⃣
⚽ Mabao: 4️⃣
🅰️ Assist: 0️⃣

Nani atamaliza akiwa na mabao mengi?

MAZURI TOKA SIMBA AMBAYO WACHAMBUZI HAWATAKI KUYAZUNGUMZA➡️Mpaka sasa SIMBA imefikisha un beaten ya 30➡️Tanja kassali nd...
04/09/2026

MAZURI TOKA SIMBA AMBAYO WACHAMBUZI HAWATAKI KUYAZUNGUMZA➡️Mpaka sasa SIMBA imefikisha un beaten ya 30

➡️Tanja kassali ndo golikipa pekee ambae mpaka sasa ajaruhusu goli kwenye ligi ya NBC

➡️Simba ndo timu pekee ambayo imetoa wachezaji wengi kwenye kikosi cha mwezi kwenye ligi ya NBC (4)

➡️Libbase Gueye ndo mchezaji bora mwezi August

➡️libbase Gueye ndo mchezaji anaengoza kwa kupiga pasi nyingi za magoli (5)

➡️ Ibrahim Doumbia ndo mchezaji maarufu zaidi tanzania

Wachambuzi hata k**a hamtaki kutusifia tuacheni tutajisifia wenyewe

  | Iko dimbani leo kwa michezo miwili; na hii ni tatu bora ya wapiga pasi za upendo hadi sasa.Via Soka Metrics
04/09/2026

| Iko dimbani leo kwa michezo miwili; na hii ni tatu bora ya wapiga pasi za upendo hadi sasa.

Via Soka Metrics

🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 18 amek**atwa na Polisi kwa kosa la kupanga Njama mbaya za Kumteka Mshambul...
03/09/2026

🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Kijana mmoja mwenye umri wa miaka 18 amek**atwa na Polisi kwa kosa la kupanga Njama mbaya za Kumteka Mshambuliaji wa Real Madrid Kylian Mbappe.

🚨 Wachezaji Wakubwa Ambao Hawana Timu mpaka sasa.
03/09/2026

🚨 Wachezaji Wakubwa Ambao Hawana Timu mpaka sasa.

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : DFB Pokal 🇩🇪VFL OSNABRUCK 1️⃣➖️4️⃣ BAYERN MUNICH ⚽️ 05" MeiƁner                    ⚽️ 18" Harry Kane      ...
03/09/2026

🚩 𝐅𝐔𝐋𝐋 𝐓𝐈𝐌𝐄 : DFB Pokal 🇩🇪

VFL OSNABRUCK 1️⃣➖️4️⃣ BAYERN MUNICH
⚽️ 05" MeiƁner ⚽️ 18" Harry Kane
⚽️ 24" Bischoff
⚽️ 73" Michael Olise
⚽️ 86" Harry Kane

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when JAYM_sport posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category