Talk 2 Tz

Talk 2 Tz Pata Habari zote za michezo kutoka Tanzania na Duniani kote kupitia Talk 2 Tz

PATA HABARI MBALIMBALI ZA MICHEZO KUTOKA TANZANIA NA PANDE ZOTE ZA DUNIA KUPITIA "ONGEA NA TANZANIA"

Nigeria hawatoki hapa!!!!!!!!!!!!!
25/08/2015

Nigeria hawatoki hapa!!!!!!!!!!!!!

25/06/2015
15/05/2015
08/04/2015
06/04/2015
01/04/2015
17/02/2015
17/02/2015
17/02/2015
HAPATOSHI  LEO MKWAKWANI!!!!!!!!!!!!!!!!!Makamu bingwa wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga leo inajitupa uwanjani ku...
04/02/2015

HAPATOSHI LEO MKWAKWANI!!!!!!!!!!!!!!!!!

Makamu bingwa wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga leo inajitupa uwanjani kumenyana na Wagosi wa kaya timu ya Coastal Union ya mjini Tanga katika mtanange wa ligi kuu.
Yanga ambayo ilitoka suluhu katika mchezo uliopita dhidi ya timu ya Ndanda kutoka Mtwara leo wataingia uwanjani ili wapate ushindi ambao utawaweka kileleni mwa ligi kuu Tanzania bara ambapo bado mabingwa watetezi timu ya Azam inaongoza wakiwa na point 21.
Hata hivyo hautakuwa mchezo mwepesi hata kidogo kwa sababu Yanga imekuwa haipati matokeo mazuri kwa siku za hivi karibuni katika uwanja wa ccm mkwakwani na hivyo kuingia uwanjani na tahadhari kubwa wakikumbuka kipigo walichokipata katika uwanja huo dhidi ya Mgambo JKT wa mabao 2-1 na hivyo kupoteza matumaini ya kulinda kombe lao.
Yanga inaweza ikapangwa hivi Bartez,Mbuyu Twite,Oscar Joshua,Rajab Zahir,Nadir Haroub,Said Makapu,Saimon Msuva,Salum Telela,Amisi Tambwe,Kpar Sherman na Andrew Countinho.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Talk 2 Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share