Yangasc is my blood

Yangasc is my blood We are fans of the Young Africans sports club which was born in 1935s οΏ½

Karibu Young Africans SC Kocha Mkuu MANQOBA MNGQITHIπ‡π€π“π”π‚π‡π„πŠπˆ 𝐍𝐀 πŠπˆπŒπ€πŸ”°
10/07/2026

Karibu Young Africans SC Kocha Mkuu MANQOBA MNGQITHI

π‡π€π“π”π‚π‡π„πŠπˆ 𝐍𝐀 πŠπˆπŒπ€πŸ”°


HATUCHEZI REMIX?Klabu ya Simba inapanga kukataa kwenda Zanzibar kwa sababu ALI KAMWE alitangaza kwanza kabla ya Bodi na ...
19/02/2026

HATUCHEZI REMIX?
Klabu ya Simba inapanga kukataa kwenda Zanzibar kwa sababu ALI KAMWE alitangaza kwanza kabla ya Bodi na muda haupo kikanuni.
SIMBA amebadilishiwa mechi 7 ndani ya siku 7 kabla ya mchezo uwanja.
Kuna mechi na Tabora United Siku 3 kabla Uwanja ukabadilishwa.Je huyu Mzee wa Transformation hakujua kuwa Kuna Siku 21?

NLIWAAMBIA HAWA HAWAWEZI KWENDA ZANZIBAR ULE UWANJA WALIULAANI KABLA NA BAADA YA MECHI NA BERKANE.
Na haitatokea Ule uwanja ukawapa matokeo Simba mazuri mpaka wauombe Msamaha.Mapinduzi keshapigwa pale na Azam Tayari anzeni kuhesabu.
πŸ”₯πŸ”₯πŸ’šπŸ’›

😲
19/02/2026

😲

WATAKA KULA NYOYA 🀣🀣Uongozi wa Simba SC umeiandikia barua Bodi ya Ligi (TPLB) eti wanahoji kwanini taarifa ya kuhamisha ...
19/02/2026

WATAKA KULA NYOYA 🀣🀣

Uongozi wa Simba SC umeiandikia barua Bodi ya Ligi (TPLB) eti wanahoji kwanini taarifa ya kuhamisha uwanja kwenda Amaan imetolewa kwanza na Afisa Habari wetu, Ali Kamwe! Eti wanadai Bodi ilichelewa kutoa taarifa rasmi mpaka tarehe 16 wakati Kamwe alishamaliza kazi tarehe 15.

Kibaya zaidi, eti wanajifanya wanajua sana kanuni za siku 21 sasa hivi. Ukweli ni kwamba mnaogopa Guantanamo Bay siyo? πŸ˜€

Heri ya maadhimisho ya miaka 91 ya Klabu ya Young Africans Sports Club. Miaka ya heshima, mafanikio na historia adhimu.
11/02/2026

Heri ya maadhimisho ya miaka 91 ya Klabu ya Young Africans Sports Club.

Miaka ya heshima, mafanikio na historia adhimu.

07/02/2026

Amkeni amkeni

07/02/2026

Watu washaanza kuloa huko😜🀣🀣🀣 moyaaaaa

Wananchi Kimataifa🌍
07/02/2026

Wananchi Kimataifa🌍


Vipi mwenenu hana Taarifa kabisa za migogoro ya Simba SC Tanzania  hadi Sasa eeeh😜Lakini ya singida black stars sc na Yo...
07/02/2026

Vipi mwenenu hana Taarifa kabisa za migogoro ya Simba SC Tanzania hadi Sasa eeeh😜

Lakini ya singida black stars sc na Young Africans Sports Club yupo Tayari hata atunge uongo ili asinyimwe Kodi

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yangasc is my blood posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Yangasc is my blood:

Shortcuts

Share