Mtu wa MUNGU Godson Mmari

Mtu wa MUNGU Godson Mmari Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Mtu wa MUNGU Godson Mmari, Sport & recreation, dar, Dar es Salaam.

14/03/2020

Kusaidia wahitaji kwafaa sana lakini kusaidia bila ya kujionyesha mbele ya watu kwafaa Zaidi (rej. Mt. 6:16-18); “maana imeandikwa, unapotoa sadaka hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kuume.” (Mt. 6:3). Kuwasaidia wahitaji wakati wa sikukuu kwafaa sana lakini kuwasaidia kila mara unapojaliwa chochote kwafaa zaidi. Hivyo, matendo yetu ya nje yafaa kuwa ya unyenyekevu ili yazifaidie roho zetu, tusiwe sawa na wanafiki ambao hufanya mambo yao kwa matangazo makubwa na kupenda kujulikana na kila mtu kwamba wao ndio waliotenda jambo hili ama lile (rej. Mt. 6:1). Kusoma kiaminifu Neno la Mungu na kulitafakari: K**a tulivyodokeza hapo juu, na hili ni mojawapo ya mazoezi muhimu sana ya Kiroho. Ili kuwa imara kiroho yatupasa kulisoma na kulitafakari Neno la Mungu mara kwa mara na kulielewa. Kwa kulisoma Neno la Mungu, kulitafakari na kulielewa tunapata ulinzi wa Mungu (rej. Isa. 30:12), tunapewa hekima ya kimungu (rej. Yak.1:5), tunapata faraja (rej. Zab 23:4), na mwangaza wa kiroho (rej. Zab119:18).

Utambulisho wako k**a wewe ni MWANA wa MUNGU aliye HAI huu hapa. Passport inayokutambulisha kwenye falme na mamlaka zote...
25/06/2019

Utambulisho wako k**a wewe ni MWANA wa MUNGU aliye HAI huu hapa. Passport inayokutambulisha kwenye falme na mamlaka zote za giza popote uendapo. Itasababisha wepesi wa kufanikisha jambo katikati ya falme na mamlaka zote za giza.
K**a vile passport hukupa uhalali wa KUINGIA na KUISHI ktk NCHI za UGENI pasipo usumbufu wowote, Hii HATI ya UTAMBULISHO ya WANA wa MUNGU ni zaidi. Utafanikisha jambo katikati ya falme na mamlaka za giza za eneo husika pasipo kushindwa tena.

15/06/2019

Shalom. Imani ni TARAKIMU na siyo HERUFI

Address

Dar
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 08:00 - 17:00

Telephone

+255620490421

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mtu wa MUNGU Godson Mmari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share