FullSokatz

FullSokatz HABARI ZA SOKA

Mbwana Samatta ndani ya Aston Villa 🙏
29/01/2020

Mbwana Samatta ndani ya Aston Villa 🙏

Full Time.
25/11/2019

Full Time.

Kilimanjaro Queen wameshindwa kutetea ubingwa kwa Mara ya tatu mfululizo.Kenya ndiyo mabingwa wapya wa Cecafa kwa wanawa...
25/11/2019

Kilimanjaro Queen wameshindwa kutetea ubingwa kwa Mara ya tatu mfululizo.

Kenya ndiyo mabingwa wapya wa Cecafa kwa wanawake mwaka 2019.

FT TANZANIA 0-2 KENYA.

Kikosi cha Polisi Tanzania kimefanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Majaliwa Stadium tayari kwa mchezo wa kesho dhid...
24/11/2019

Kikosi cha Polisi Tanzania kimefanya mazoezi ya mwisho katika uwanja wa Majaliwa Stadium tayari kwa mchezo wa kesho dhidi ya Namungo Fc.

Kikosi cha Yanga Sc mwishoni mwa mwezi huu Septemba 29/2019 kitashuka dimbani kuwakabili Alliance Fc.Mechi hiyo itwpigwa...
24/11/2019

Kikosi cha Yanga Sc mwishoni mwa mwezi huu Septemba 29/2019 kitashuka dimbani kuwakabili Alliance Fc.

Mechi hiyo itwpigwa katika uwanja wa Ccm Kirumba " mwanza " majira ya saa 10:00 Jioni.

Ruvu Shooting azidi kuwa kibonde mbele ya Simba Sc.Full Time.R.Shooting 0-3 Simba ScMiraji ⚽⚽Tairon ⚽.
23/11/2019

Ruvu Shooting azidi kuwa kibonde mbele ya Simba Sc.

Full Time.

R.Shooting 0-3 Simba Sc
Miraji ⚽⚽
Tairon ⚽.

Half Time.
23/11/2019

Half Time.

Kikosi cha Simba Sc vs R.Shooting.
23/11/2019

Kikosi cha Simba Sc vs R.Shooting.

Full Time.
22/11/2019

Full Time.

22/11/2019

Bao la pili la Yanga Sc 🔥 Balinya

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255764740755

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FullSokatz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to FullSokatz:

Share

Category