Tell us sports

Tell us sports Futball Genius
Tuzungumze michezo
Kila Kona ya ulimwengu. 0686820442

15/01/2026

Here we sadio! 🙌🙌

15/01/2026

This celebration 🤟

SERGIO AGUERO, nyota wa zamani wa Man City anatupa kisa cha kutotumia jina la baba yake Aguero Del Castillo kwenye utamb...
26/05/2025

SERGIO AGUERO, nyota wa zamani wa Man City anatupa kisa cha kutotumia jina la baba yake Aguero Del Castillo kwenye utambulisho wake kwenye soka.
"Kwa nini jina langu la mwisho ni Agüero na sio Castillo, ambalo ni jina la mwisho la baba yangu? Kwa sababu alikuwa mvivu.
"Ni hadithi ndefu ambayo si watu wengi wanajua. Wazazi wangu wanatoka Tucumán, na wakati huo ilibidi uwe na umri wa zaidi ya miaka 21 ili kusajili mtoto kwa jina lako (mzazi wa kiume) la mwisho.
“Baba yangu alikuwa na umri wa miaka 18 na alitamani kucheza soka. Mama yangu alipopata ujauzito baba yangu alikuwa na umri mdogo. Hakukuwa na mtu mzima wa kwenda naye kujaza taarifa zangu za jina la mwisho … kwa hiyo hospitalini walisema, ‘Itatubidi kumpa jina la mwisho la mama.’ Na hivyo ndivyo nilivyoishia kuwa Sergio Agüero.
"(Baba) Alipofikisha umri wa miaka 21 hakuniandikisha kwa jina lake. Kwa sababu alikuwa mvivu. Baadaye, nilipokuwa na umri wa miaka 18 au 19, nilipokuwa Hispania, aliniambia anataka kubadilisha jina langu la mwisho. Lakini wakati huo nilikuwa tayari natumia Kun Agüero, kila mtu alinijua kwa njia hiyo. Nilimwambia, 'Hapana, wewe ni mjinga. Siwezi kubadili chochote kwa sasa. Sasa sikutambui k**a baba yangu'.
“Lakini nilirudi Argentina na kubadilisha taarifa zangu upya, hati za kusafiria na karatasi zingine nikabadili jina na kuweka moja tu la Aguero (jina la kwanza la baba yake) na nilimwambia hilo moja inatosha." Alisema Sergio Aguero

🚨PERCY MUZI TAU  ATIMKIA ZAKE QATAR.Rasmi Doha FC ya Nchini Qatar Wameinasa Saini ya Mshambuliaji wa Aly Ahly SC Percy T...
08/01/2025

🚨PERCY MUZI TAU ATIMKIA ZAKE QATAR.

Rasmi Doha FC ya Nchini Qatar Wameinasa Saini ya Mshambuliaji wa Aly Ahly SC Percy Tau.

🔺Hizi ni Takwimu zake Toka ajiunge na Aly Ahly 2021 Akitokea Brighton FC 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿.

🔹Michezo 126
🔹Magoli 30
🔹Asists 14
🔹Makombe 11


TAFADHALI like na follow page YETU.

ZIATAN AMEMJIBU CRISTIANO RONALDO KUHUSU LIGI YA UFARANSA Cristiano Ronaldo alinukuliwa k**a kawaida alisema kua Ligi ya...
08/01/2025

ZIATAN AMEMJIBU CRISTIANO RONALDO KUHUSU LIGI YA UFARANSA

Cristiano Ronaldo alinukuliwa k**a kawaida alisema kua Ligi ya Saudi Arabia ni Ligi Bora Kuliko Ligi ya Ufaransa Ligue One
Akisema Ufaransa hakuna mshindani wa PSG tofauti na Saudi Arabia Kuna Washindani Wengi.

Zimepita Siku kadhaa Mtukutu ️Zlatan Ibrahimovic alijibu maoni ya Cristiano Ronaldo:

ALISEMA HIVI 🗣️"Kufunga mabao 10 kwenye Ligi ya Kiarabu ni sawa na kufunga bao 1 kwenye Ligue 1...huko Uhispania, ni kona moja tu. "

🚨🗣Cristiano Ronaldo: "Wakati fulani uliopita nilimwonyesha mwanangu mahali nilipokuwa nikiishi Lisbon nikiwa na umri wa ...
08/01/2025

🚨🗣Cristiano Ronaldo: "Wakati fulani uliopita nilimwonyesha mwanangu mahali nilipokuwa nikiishi Lisbon nikiwa na umri wa miaka 12. Nilitaka aone nilikokulia.

Alipokiona chumba kidogo nilicholala, aliniambia: 'Je, kweli uliishi hapa, Baba?' Hakuweza kuamini. Vijana wanafikiri kwamba kila kitu ni rahisi katika ulimwengu huu. Ubora wa maisha, nyumba, magari, nguo... Wanafikiri kwamba kila kitu kinaanguka kutoka angani kana kwamba hakuna kilichotokea. Ninajaribu kumfanya mwanangu aelewe kwamba mambo haya hayaji tu kupitia talanta bali zaidi ya yote kupitia bidii. Kwa bidii na bidii, unaweza kufikia chochote unachotaka. Hiki ndicho ninachojaribu kumfundisha mwanangu na vijana ninaokutana nao.” 👏❤



FOLLOW US

Alexander Isaak haachi kutia mpira wavuni goli lake la 50 akiwa na Newcastle anawafunga arsenal katika nusu fainali za E...
08/01/2025

Alexander Isaak haachi kutia mpira wavuni goli lake la 50 akiwa na Newcastle anawafunga arsenal katika nusu fainali za EFL.
Mwamba kabisa huyu JE ni wazi Sasa atimkie vila vikubwa Duniani.

🚨𝗔𝗰 𝗠𝗶𝗹𝗮𝗻 𝗪𝗮𝗽𝗼 𝘀𝗲𝗿𝗶𝗼𝘂𝘀 Klabu ya AC Milan imepeleka Ofa Katika klabu ya Manchester United yakumtaka kwa mkopo nyota wake ...
08/01/2025

🚨𝗔𝗰 𝗠𝗶𝗹𝗮𝗻 𝗪𝗮𝗽𝗼 𝘀𝗲𝗿𝗶𝗼𝘂𝘀

Klabu ya AC Milan imepeleka Ofa Katika klabu ya Manchester United yakumtaka kwa mkopo nyota wake Marcus Rashford kukiwa na chaguo la kumnunua moja kwa Moja .

AC Milan naona hawatanii katika hili kuna kila dalili Rashford na Casemiro wakaondoka dirisha hili dogo


Pierre-Emerick Aubameyang afunguka kuhusu kuibiwa kwa mtutu wa bunduki huko Barcelona wakati mkewe na watoto wake waliku...
07/01/2025

Pierre-Emerick Aubameyang afunguka kuhusu kuibiwa kwa mtutu wa bunduki huko Barcelona wakati mkewe na watoto wake walikuwa nyumbani

ifa za ndani zinaeleza kuwa nyota wa Yanga SC, Pacome ZouZoua amegomea kusaini mkataba mpya akidaiwa kutaka mshahara mku...
24/12/2024

ifa za ndani zinaeleza kuwa nyota wa Yanga SC, Pacome ZouZoua amegomea kusaini mkataba mpya akidaiwa kutaka mshahara mkubwa zaidi.Tetesi zinaeleza kuwa Yanga SC wamempa ofa ya mshahara wa Tsh million 28 Kwa mwezi lakini nyota huyo anataka mshahara wa Tsh million 35.

Kwa muda sasa inaelezwa kuwa Simba SC wanafwatilia mwenendo nyota huyo kusaini mkataba mpya k**a atashindwana na wananchi basi wamnyakue.

TAFADHALI Tu Follow kuendelea kupata habari za huakika!

Address

Kinyerezi/Tabata
Dar Es Salaam
11000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tell us sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category