COV ยณโถโฐโ€ฒ

COV  ยณโถโฐโ€ฒ ๐•€๐•ฅ'๐•ค ๐”ธ๐•๐• ๐”ธ๐•“๐• ๐•ฆ๐•ฅ ๐”ฝ๐• ๐• ๐•ฅ๐•“๐•’๐•๐•.

โ„™๐•’๐•ค๐•ค๐•š๐• ๐•Ÿ ๐Ÿ’ฏ.

๐”ผ๐•ฉ๐•ก๐•–๐•”๐•ฅ๐•’๐•ฅ๐•š๐• ๐•Ÿ๐•ค โŒ.

๐Ÿ…ฐ๏ธŽ & ๐Ÿ…พ๏ธŽ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

๐Ÿšจ RANK MPYA ZA LEAGUE ZA NDANI AFRICA  (TOP 12)COV  ยณโถโฐโ€ฒ
10/08/2025

๐Ÿšจ RANK MPYA ZA LEAGUE ZA NDANI AFRICA (TOP 12)

COV ยณโถโฐโ€ฒ

โณ ZIKIWA ZIMESALIA SIKU TANO KUELEKEA KUANZA KWA MSIMU MPYA WA EPL (2025-26).Ni mchezaji Gani alivaa na anavaa jezi no 5...
10/08/2025

โณ ZIKIWA ZIMESALIA SIKU TANO KUELEKEA KUANZA KWA MSIMU MPYA WA EPL (2025-26).

Ni mchezaji Gani alivaa na anavaa jezi no 5๏ธโƒฃ unamkubali Kwa kazi yake chafu dimbani.

COV ยณโถโฐโ€ฒ

๐ŸšจLADIES AND GENTLEMEN ๐Ÿ˜‰ EPL INARUDI.Ni muda watoto na wake kuziachia remote na wanaume watulivu kuburudika na soka pale ...
10/08/2025

๐ŸšจLADIES AND GENTLEMEN ๐Ÿ˜‰ EPL INARUDI.

Ni muda watoto na wake kuziachia remote na wanaume watulivu kuburudika na soka pale sebleni, na pia Kwa mashabiki nongwa kurudi nyumbani saa 6 usiku au ikiwezekana Kesho kabisa (chai) ๐Ÿ˜‚, wale wa vibanda umeza wamenielewa.

Ni muda sasa wa kibonge mwepesi Mbeumo na mwenzake Teka refu kuliko goli Benjamin Sesko kumwamsha shetani wa Manchester.

Ni muda sasa wa mask man Victor Gyokeres na mnaigeria wa mchongo kuifuta laana ya mzee venga.

Ni muda sasa wa Delap, Pedro kuendeleza baridi viunga vya darajani.

Ni muda sasa wa Reijnders na Marmush kuwafanya wananchi wa jijini Manchester kugeuka nyuma huku wakiwa wameshikana mabega wakishangilia mabao.

LADIES AND GENTLEMEN EPL IS BACK ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ.

COV ยณโถโฐโ€ฒ

โณ FLASH BACK SUNDAY.Siku k**a ya Leo Lionel Messi alitambulishwa PSG.Namba zake akiwa PSG zinasomeka k**a hivi;๐ŸŸ๏ธ MICHEZ...
10/08/2025

โณ FLASH BACK SUNDAY.

Siku k**a ya Leo Lionel Messi alitambulishwa PSG.

Namba zake akiwa PSG zinasomeka k**a hivi;
๐ŸŸ๏ธ MICHEZO - 75
โšฝ MABAO - 32
๐ŸŽฏ ASSIST - 30

Follow COV ยณโถโฐโ€ฒ

๐ŸšจSAKATA LA MZIZE.Hii ishu ipo pande tatu, upande wa mchezaji, upande wa mnunuzi UMM SALAL SPORTS ya Qatar, muuzaji YOUNG...
09/08/2025

๐ŸšจSAKATA LA MZIZE.

Hii ishu ipo pande tatu, upande wa mchezaji, upande wa mnunuzi UMM SALAL SPORTS ya Qatar, muuzaji YOUNG AFRICANS na wakala wa mchezaji.

๐Ÿ” UMM SALAL SPORTS - hawa ndio wanunuzi na wameleta ofa mezani ya $900,000 sawa na 2,236,500,000 Tsh.

๐Ÿ” YOUNG AFRICANS - ofa ya klabu ya UMMA imepokelewa na wameshatoa majibu kuwa ofa imekubaliwa 100% na Wananchi.

๐Ÿ” Wakala wa mchezaji (MZIZE), yeye kakataa ofa hiyo kutoka Qatar na anamtaka mchezaji wake aende klabu za Misri au Tunisia ambako Kuna klabu zinahitaji huduma ya Walid MZIZE.

Yaani hapa kilichobaki ni wakala wa mchezaji kutoa go ahead ILI mchezaji aende kucheza soka falme za kiarabu.

ยฉ๏ธ Maulid Kitenge

Follow COV ยณโถโฐโ€ฒ

Total Energies CHAN 202423โ€™ Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 2๏ธโƒฃ - 0๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฌMadagascarโšฝ๏ธMzize โšฝ๏ธMzize
09/08/2025

Total Energies CHAN 2024

23โ€™ Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ 2๏ธโƒฃ - 0๏ธโƒฃ ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฌMadagascar
โšฝ๏ธMzize
โšฝ๏ธMzize

โณ Nikikuuliza mpaka Sasa nitajie Top 3 yako ya wachezaji unaowapigia chapuo kuchukua Balloon dOr.Me; Osimane Dembele    ...
08/08/2025

โณ Nikikuuliza mpaka Sasa nitajie Top 3 yako ya wachezaji unaowapigia chapuo kuchukua Balloon dOr.

Me; Osimane Dembele
Raphinha
Ashiraf Hakimi

Tuone na mawazo yako !?

๐Ÿ‘๐Ÿฝ๐ŸŽ‰ TAHARIFA njema Kwa wote, Uongozi wa Premier League watasitisha mpango wao wa kutumia vitambaa vyenye upinde Kwa maka...
08/08/2025

๐Ÿ‘๐Ÿฝ๐ŸŽ‰ TAHARIFA njema Kwa wote, Uongozi wa Premier League watasitisha mpango wao wa kutumia vitambaa vyenye upinde Kwa makapteni msimu ujao (2025-2026)

๐Ÿ˜…๐Ÿ™๐Ÿฝ

๐Ÿ” Taharifa ndani ya Brighton zinaeleza kuwa Wana mpango wa kumbakisha kiungo wao mkata umeme Carlos Baleba mpaka dirisha...
08/08/2025

๐Ÿ” Taharifa ndani ya Brighton zinaeleza kuwa Wana mpango wa kumbakisha kiungo wao mkata umeme Carlos Baleba mpaka dirisha kubwa baada ya msimu ujao (2025-2026).

Wana maono ya kuwa Kwa kumbakisha klabuni hapo kutafanya thamani yake kupanda ILI wamuuze Kwa Bei ya juu k**a Moses Caisedo, aliyeuzwa kwenda darajani Kwa ยฃ115M.

Mpaka Sasa vilabu Yenye mpango wa kumsajili Baleba ni Manchester United na Newcastle United.

๐Ÿ” Upande huu Garnacho upande huu Estavio Williams, kati anapiga Pedro alafu kiungo wa juu anacheza Coolest man ๐Ÿ˜๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ.Ta...
08/08/2025

๐Ÿ” Upande huu Garnacho upande huu Estavio Williams, kati anapiga Pedro alafu kiungo wa juu anacheza Coolest man ๐Ÿ˜๐Ÿคฆ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ.

Tayari huko dogo Kwa ยฃ60M anatimkia darajani.

๐Ÿ” Leo Real Madrid wamecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Leganรฉs, ambapo Madrid wameshinda mabao 4-1 na nyota wa klabu hi...
08/08/2025

๐Ÿ” Leo Real Madrid wamecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Leganรฉs, ambapo Madrid wameshinda mabao 4-1 na nyota wa klabu hiyo Kylian Mbappe ameonekana amevaa jezi no.10.

Je, tutegemee kumwona akiitumia no.10 Kwa msimu ujao !?

๐Ÿ”ฅ Ukiachana na kusajiliwa na Manchester united, unaambiwa Benjamin Sesko amepunguza na mshahara ila vitabu vya red devil...
08/08/2025

๐Ÿ”ฅ Ukiachana na kusajiliwa na Manchester united, unaambiwa Benjamin Sesko amepunguza na mshahara ila vitabu vya red devils vikae sawa.

Anatarajiwa kujiunga na kambi huko Carrington masaa machache yajayo, na atasaini mkataba wa miaka mitano.

Address

TEMEKE
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when COV ยณโถโฐโ€ฒ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category