Seko Sports

Seko Sports Seko Sports for sports entertainment in the world. All sports news!!

21/05/2024

Nyie watu wa dsm na dodoma, nauliza tu kutoka huku tarime...hivi kuna tofauti ya mdoli na mwanasesele?




kumiliki bidhaa uipedayo sio kazi ngumu tena ukiw popote pale Tanzania. Bado wewe tu kutimiza maleng ya kumiliki bidhaa ...
22/04/2024

kumiliki bidhaa uipedayo sio kazi ngumu tena ukiw popote pale Tanzania. Bado wewe tu kutimiza maleng ya kumiliki bidhaa yako pendwa.
Pakua app ya sasa na ujionee tofauti.

Nunua bidhaa kutoka kwa wauzaji waiothibitishwa ndani ya app ya   na kisha uweze   kwa hadi siku 90.Chagua bidhaa kutoka...
22/04/2024

Nunua bidhaa kutoka kwa wauzaji waiothibitishwa ndani ya app ya na kisha uweze kwa hadi siku 90.
Chagua bidhaa kutoka brands zaidi ya 200 na bidhaa zaidi ya 100,000.

Kufanya biashara Tanzania imekuwa rahisi kwa kutumia KibubuAp.KibubuApp inawaunganisha wauzaji na wanunuzi wa bidhaa amb...
15/04/2024

Kufanya biashara Tanzania imekuwa rahisi kwa kutumia KibubuAp.
KibubuApp inawaunganisha wauzaji na wanunuzi wa bidhaa ambapo wanunuzi wanaweza kulipia bidha kidogo kidogo.
KibubuApp imekusudia kutatua tatizo la wanunuzi kutokuwa na fedha za papo kwa papo ili kuweza kununua bidhaa kwa kuaziasha mfumo wa kulipia kidogo kidogo kwa awamu.
Kupitia mfumo huu wateja wanaweza kutimiza malengo yao ya kumiliki bidhaa wazipendazo.
Ndani ya KibubuApp, kuna wauzaji waliothibitishwa na mfumo mzuri wa malipo ya mtandaoni papo hapo.
Pia wateja wanaotumia KibubuApp wanweza kuweka fedha kidogo kdogo ndani ya Wallet yao kwa ajili kununua bidhaa ndani ya KibubuApp.
Hadi sasa watumiaji zaidi ya 2000 wamejisajili kutumi huduma hii pendwa kwa watanzania.
KibubuApp ina malengo ya kutanua huduma zake na uwa na mfumo wake wa malipo pamoja na huduma zingine ndani yake kwa kipindi cha miaka mitano angu kuanzishwa kwake.


  Vigogo waendelea kuchakazwa.Ujerumani k**a Argentina.
23/11/2022



Vigogo waendelea kuchakazwa.
Ujerumani k**a Argentina.

MANCHESTER UNITED  NA CRISTIANO RONALDO "WAPEANA TALAKA"“Baada ya mazungumzo na Manchester United, tumekubaliana pande z...
22/11/2022

MANCHESTER UNITED NA CRISTIANO RONALDO "WAPEANA TALAKA"

“Baada ya mazungumzo na Manchester United, tumekubaliana pande zote mbili kumaliza mkataba wetu mara moja.

Naipenda Manchester United na ninawapenda mashabiki, hilo halitabadilika kamwe.

Walakini, ninahisi k**a ni wakati mwafaka kwangu kutafuta changamoto mpya kwa kazi yangu.

Nawatakia Manchester United kila la heri kwa kipindi kilichosalia cha msimu huu na kwa siku zijazo”.

Taarifa ya CR7

Saudi Arabia yaichapa Argentina ya akina Messi kwa 2-1.
22/11/2022

Saudi Arabia yaichapa Argentina ya akina Messi kwa 2-1.

Mechibya kwanza imetamatika kwa wenyeji kula kichapo
20/11/2022

Mechibya kwanza imetamatika kwa wenyeji kula kichapo


 HT Qatar 0 - 2 Ecuador E. Valencia⚽️ 16'(p), ⚽️ 31'
20/11/2022



HT Qatar 0 - 2 Ecuador

E. Valencia⚽️ 16'(p), ⚽️ 31'

Hii hapa ndio mpira wa kuotea wa goli la awali la Ecuador lilikataliwa, je una maoni gani?
20/11/2022

Hii hapa ndio mpira wa kuotea wa goli la awali la Ecuador lilikataliwa, je una maoni gani?

TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup wanauliza swali kwa wananchi Klabu ya Yanga.Haya tuwajibu hapa......
13/09/2022

TotalEnergies CAF Champions League & Confederation Cup wanauliza swali kwa wananchi Klabu ya Yanga.

Haya tuwajibu hapa......

Zoran Manojlovic Maki aikacha Klabu ya Simba atimkia Misri klabu ya Al Ittihad SC.Atambulishwa rasmi saa chache baada ya...
06/09/2022

Zoran Manojlovic Maki aikacha Klabu ya Simba atimkia Misri klabu ya Al Ittihad SC.
Atambulishwa rasmi saa chache baada ya kuondoka. Al Ittihad wamwaga 'mpunga' uliowazidi klabu ya Simba.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Seko Sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Seko Sports:

Share

Category