Ukweli mtupu

Ukweli mtupu Habar na matangazo

SH*TUKA BROOKule nyekundu na nyeupe ukuwai kuwa injuri kwa mda huoVipi huku kijani na njano hii ni talent inayopotea kim...
16/05/2026

SH*TUKA BROO
Kule nyekundu na nyeupe ukuwai kuwa injuri kwa mda huo
Vipi huku kijani na njano hii ni talent inayopotea kimya kimya

Ukichukia Sawa wewe shusha comment yako tu napokea

LAMIN JARJORpale kariakoo vipi hatapata namba na unaona jarsey gani zitampendeza Young Africans Sports Club au Simba SC ...
08/04/2026

LAMIN JARJOR

pale kariakoo vipi hatapata namba na unaona jarsey gani zitampendeza Young Africans Sports Club au Simba SC Tanzania

PANGA LA SIMBA SPORT CLUBkuelekea dirisha kubwa1.SOWAH2.NABY CAMARA3.DJIBLI KASALY - PIN PIN CAMARA✍️ Chanzo kutoka ndan...
08/04/2026

PANGA LA SIMBA SPORT CLUB
kuelekea dirisha kubwa

1.SOWAH
2.NABY CAMARA
3.DJIBLI KASALY - PIN PIN CAMARA

✍️ Chanzo kutoka ndani ya club kinasema Kelvin nashon amesain simba miaka 2 k**a kiungo mkabaji na mchezeshaji yaani box to box na anauwezo wa kupasia

✍️ Neo maema mda wowote anaweza kusaini mkataba mpya hapo mwanzo Simba SC Tanzania ilikua haina mipango ya kumuongeza mkataba kocha anahitaji maema aendelee kusalia

Rasmi KIBU DENIS si mali ya simba tena alibakiza mkataba wa miezi Sita (6) na timu yake ya simba  kukubali ofa ya millio...
10/02/2026

Rasmi KIBU DENIS si mali ya simba tena alibakiza mkataba wa miezi Sita (6) na timu yake ya simba kukubali ofa ya million 700 kibu Denis kutimkia nchini libya

JE nipigo kwa simba/ ni faida kwa simba

Dondosha comment yako chini hapo

05/02/2026

Sakata la simba ulivyofuatilia upande upi una changamoto
✍️ JE mashabiki kumpa masaa 72 MO dewj ni sahihi?

Tubishane kwa fact kwenye comment

Timu ya simba imetangaza nafasi za kazi katika upande wa mashabiki HAYA SASA MCHANGAMKIE FURSA SIO KUMKOSOA MANGUNGU TUU...
31/01/2026

Timu ya simba imetangaza nafasi za kazi katika upande wa mashabiki HAYA SASA MCHANGAMKIE FURSA SIO KUMKOSOA MANGUNGU TUU PELEKA MAONO YAKO TIMU YAKO ISONGE MBELE

mda wa mashabiki kutulia kusapoti timu na kushawishi vijana wenye sifa na uchungu wa timu yenu punguzeni malalamiko jitokeze uombe nafasi

Mimi mjumbe nimefikisha ujumbe wangu

RASMI club ya yanga imemtangaza mchezaji BUBA JAMMEH kuwa ni mali ya wananchi anacheza winga zote mbili ni fundiiii Sana...
30/01/2026

RASMI club ya yanga imemtangaza mchezaji BUBA JAMMEH kuwa ni mali ya wananchi anacheza winga zote mbili ni fundiiii Sana huyu jamaaaa HILI NI BALAA JIPYA MJINI

NIPANGIE KIKOSI CHA YANGA KWENYE COMMENT

Nini maoni yakoJE sahihi simba kumrudisha chama
22/01/2026

Nini maoni yako

JE sahihi simba kumrudisha chama

Anaitwa Olivier toure ni beki wakati yaani anacheza namba zote mbili 4 na 5 chanzo cha ndani ya simba kuwa wamemalizana ...
18/01/2026

Anaitwa Olivier toure ni beki wakati yaani anacheza namba zote mbili 4 na 5 chanzo cha ndani ya simba kuwa wamemalizana nae na yupo Dar es salaam ni mtu wa maana kabisa

Hapa simba wamepata mtu kazi

Rasmi club ya simba imemtambulisha mchezaji libasse gueye raia wa Senegal anasifa ya kucheza Winga zote mbili pamoja na ...
17/01/2026

Rasmi club ya simba imemtambulisha mchezaji libasse gueye raia wa Senegal anasifa ya kucheza Winga zote mbili pamoja na namba 10 ile ya kisasa iko fasta na ni hatari mbele ya goli

Mtambo wa mabao na assist umetua msimbazi

✍️ Sultan Jamal

Address

Keko
Dar Es Salaam
SULDADY

Telephone

+255699527439

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ukweli mtupu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share