J sports

J sports Huu ukurasa unausiana na habari za michezo na burudani

24/05/2026

mamelod watagazwa kuwa mabigwa wapya wa Caf champions 2025/2026 ��

21/05/2026

sikia mziki aiseee afrika tumejaariwa vipaji vingi mno

21/05/2026

waha hapan wamenishinda tabia walimu wenu inabidi waongezewe mishahara kha!!!!!!!

arsenal ndio bigwa mpya rasimi Epl 25/26
19/05/2026

arsenal ndio bigwa mpya rasimi Epl 25/26

leo ndo leo pata chimbika nguo kuchanika fainal  ya kwanza ya caf champions league
17/05/2026

leo ndo leo pata chimbika nguo kuchanika fainal ya kwanza ya caf champions league

10/05/2026
mechi imemalizika simba katangazwa kuwa bigwa wa muungano cup  SIMBA SC 1- 0 YANGA SC
29/04/2026

mechi imemalizika simba katangazwa kuwa bigwa wa muungano cup
SIMBA SC 1- 0 YANGA SC

28/04/2026

FT
PSG 5 - 4 BAYERN

kipindi cha kwanza kimeisha hivyo leo leo kazi ipo
28/04/2026

kipindi cha kwanza kimeisha hivyo leo leo kazi ipo

kosi kazi nini maoni yako mdau
23/04/2026

kosi kazi nini maoni yako mdau

Address

Tabata Kimanga
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when J sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category