Lay Flexi

Lay Flexi whatsap nō 👉255768788724

Ukistaajabu ya Kajala na Harmonize hujaskia ya Rayvanny, Vanny boy Aliwahi kusema , "wanawake wanabadilika, Leo Inakuwa ...
01/03/2026

Ukistaajabu ya Kajala na Harmonize hujaskia ya Rayvanny, Vanny boy Aliwahi kusema , "wanawake wanabadilika, Leo Inakuwa yes, kesho Inakuwa No. Mmh wanawake si unawajua wanawake? Anapopenda Analia, Anakuwacha Analia, Sasa utajiuliza wewe inakuwaje,"

Mapenzi yalinivuruga Miaka Miwili iliyopita nikayawacha, Nikasema pesa muhimu,

Nakumbuka My friend Alikosana na Girlfriend wake, The girlfriend was My Friend Also. Huyo Mrembo akanikujia kuniuliza mbona boyfriend wake hamtafuti after wamekosana?

Nikaenda Kuuliza Huyo boy mbona hatafti Demu Wake, Boy Akasema Huyo Dem amemblock Kila Mahali, calls, chats Everywhere!

Nikajiuliza mademu wanaeleweka vipi? Amekublock na Bado anakupenda, anakutaka na anatarajia umwongeleshe Jamani 🥹

Ukiwa mwerevu Sana unaongea sense Sana Kwa mwanamke unakuwa boring, Ukiwa Unafanya jokes Sana Pia unaonekana Huna Maisha, k**a Utoto,

Ukiwa na pesa unakuwa mlezi kisha mwanamke anatafuta Mpenzi Nje, Ukiwa unampa Mapenzi Bila matunzo anatafuta Mwenye Hela anachepuka!

Anamsifia rafiki Yako asiye na Hela Akisema ni mcheshi, Ni mcheshi Kweli au alipewa akaramba,

Tafta Hela mapenzi Huwezi kuyaelewa Hata usome Mpaka Keiii yuu 😅

Follow us

12/24/2025

12/18/2025

simba hao

12/18/2025

simba yatua barcelona

12/18/2025

maneno ya Diamond Platnumz

Wangapi tumeingia kwenye hii kampuni, k**a upo najua unanielewa dondosha coper
09/10/2025

Wangapi tumeingia kwenye hii kampuni, k**a upo najua unanielewa dondosha coper

09/10/2025
07/06/2025

RIP DIOGO JOTA 😭😭😭🙏🙏🙏

Dah!!
07/03/2025

Dah!!

Address

Kinondoni
American Canyon, CA
14101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lay Flexi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share