NEVES sports

NEVES sports Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from NEVES sports, Sports, Dar es Salaam.
(1)

โšฝ๐Ÿ’ฅ๐’๐ฉ๐จ๐ซ๐ญ๐ฌ ๐€๐ง๐š๐ฅ๐ฒ๐ฌ๐ญ๐Ÿ“๐Ÿ“ฒ: Usipitwe na ๐Ÿ“ข Habari za nyota mbali mbali ,Updates za ligi mbalimbali, matokeo ya mechi, uchambuzi wa kina na makala kemkem๐ŸŽฏ

๐ŸŒ๐€๐‹๐‹ ๐€๐๐Ž๐”๐“ ๐“๐‡๐„ ๐‹๐€๐“๐„๐’๐“ ๐…๐Ž๐Ž๐“๐๐€๐‹๐‹ ๐’๐๐Ž๐‘๐“๐’ ๐๐„๐–๐’
โšฝ

31/08/2026

Tusibetie timu nchi zao zilizopo kwenye vita leo kimenilamba dadeki fyaaaa๐Ÿ˜ญ

Manina kweli  Urusi anaishambulia sana  Ukraine yaani hii timu ni ya kukosa bao 1๐Ÿ˜ญ
31/08/2026

Manina kweli Urusi anaishambulia sana Ukraine yaani hii timu ni ya kukosa bao 1๐Ÿ˜ญ

Kwa utatu huu mabeki wa EPL wajiandae maana watalambishwa nyasi vibaya sana BIV๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
31/08/2026

Kwa utatu huu mabeki wa EPL wajiandae maana watalambishwa nyasi vibaya sana BIV๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

RODRIGO DE PAUL KUPITIA INSTAGRAM BAADA YA MESSI KUTANGAZA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA."Upendo wako usio na masharti kwa nchi...
31/08/2026

RODRIGO DE PAUL KUPITIA INSTAGRAM BAADA YA MESSI KUTANGAZA KUSTAAFU TIMU YA TAIFA.

"Upendo wako usio na masharti kwa nchi yetu, mapambano yako ya ndani ya kutokata tamaa, nguvu zako za kuvumilia kila mara pale unapofanyiwa isivyo haki, uongozi wako na ubinadamu kwa kila mchezaji aliyefika kwenye uwanja wa mazoezi, kuhakikisha anajisikia vizuri, pamoja na namna ulivyowajali kila mfanyakazi wa timu yetu ya taifa."

"Ni kusema tu asante. Mchezaji bora zaidi wa muda wote. Asante kwa kutufanya tuwe na furaha kubwa sana. Huwezi kufikiria ni matabasamu mangapi ulileta kwenye nyuso zetu.

Wewe ni wa milele.๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿ"

JUST IN๐Ÿ”ดLionel Messi ametangaza rasmi kustaafu  kuchezea Timu ya Taifa ya Argentina๐Ÿ‘‹.Baada ya miaka 20+ akiwa anaiwakili...
31/08/2026

JUST IN๐Ÿ”ด

Lionel Messi ametangaza rasmi kustaafu kuchezea Timu ya Taifa ya Argentina๐Ÿ‘‹.

Baada ya miaka 20+ akiwa anaiwakilisha Argentina, Lionel Messi ametangaza rasmi kustaafu kuchezea Timu ya Taifa.

Baada ya safari ndefu iliyojaa furaha, maumivu, ushindi na kumbukumbu zisizosahaulika, hatimaye Leo ameamua kufunga ukurasa wake na La Albiceleste.

Asante kwa kila kitu, Leo. ๐Ÿ‘‹๐Ÿ

Manchester United wametumia ยฃ200M msimu huu wa kiangazi, lakini bado paa la Old Trafford linavuja.Vipaumbele vyao vinash...
31/08/2026

Manchester United wametumia ยฃ200M msimu huu wa kiangazi, lakini bado paa la Old Trafford linavuja.

Vipaumbele vyao vinashangaza sana ๐Ÿ˜ญ

K**a uhamisho wa kina fimbo a.k.a Barcola  una cost โ‚ฌ150M.Unadhani mtaalamu k**a Ronaldinho enzi zile yupo moto hasa, uh...
31/08/2026

K**a uhamisho wa kina fimbo a.k.a Barcola una cost โ‚ฌ150M.

Unadhani mtaalamu k**a Ronaldinho enzi zile yupo moto hasa, uhamisho wake ungecost kiasi gani cha pesa?

CHUKUA HIIโœ…๏ธ  Kwa mujibu wa uchunguzi wa La Gazzetta dello Sport, hakuna mchezaji wa Kiitaliano anayekipiga Serie A msim...
31/08/2026

CHUKUA HIIโœ…๏ธ Kwa mujibu wa uchunguzi wa La Gazzetta dello Sport, hakuna mchezaji wa Kiitaliano anayekipiga Serie A msimu huu ambaye amewahi kucheza hata dakika moja kwenye mechi za Kombe la Dunia.

Hii ni mara ya kwanza kutokea tangu msimu wa 1930/31.

Inadaiwa kuwa klabu ya Atlรฉtico Madrid ilimpa Juliรกn รlvarez ruhusa kwa maandishi kuhusu yeye kujiunga na Barcelona na h...
31/08/2026

Inadaiwa kuwa klabu ya Atlรฉtico Madrid ilimpa Juliรกn รlvarez ruhusa kwa maandishi kuhusu yeye kujiunga na Barcelona na hata kumtaka azungumze hadharani wakati wa Kombe la Dunia kuwa anaelekea Barca.

Lakini baadaye Atlรฉtico walibadilisha msimamo na kuvunja ahadi hiyo.

Kupitia Jota Jordi [El Chiringuito TV]

Kwa sasa, hii ni taarifa ya Jota Jordi ambayo haijathibitishwa rasmi na Atlรฉtico Madrid.

Hiki chuma kutoka Taifa la Japan Daizen Maeda jana kuna muda kilikuwa kimeanza kumpika Dalot sema hakuwa na bahati tu pu...
31/08/2026

Hiki chuma kutoka Taifa la Japan Daizen Maeda jana kuna muda kilikuwa kimeanza kumpika Dalot sema hakuwa na bahati tu pua umakini wa Dalot.

Ndiyo kwanza jana mechi yake ya 2 toka atue Ipswich kutoka Celtic.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255629588881

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when NEVES sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to NEVES sports:

Shortcuts

Share

Category