SAMBA Sports Tanzania

SAMBA Sports Tanzania Kwa Burudani na Michezo tunakupa taarifa sahihi na zilizochambuliwa kwa kina.

Sema hii nchi tumepitia Mengi sana😁😁🤣🤣
02/05/2026

Sema hii nchi tumepitia Mengi sana😁😁🤣🤣

🚨 JUST INAnicet Oura kaumia tena mazoezini hatokuwa sehemu ya mchezo wa kariakoo derby 03 mayInasemekana Oura ana injury...
02/05/2026

🚨 JUST IN

Anicet Oura kaumia tena mazoezini hatokuwa sehemu ya mchezo wa kariakoo derby 03 may

Inasemekana Oura ana injury za mara kwa mara zisizotibika timu yake ya zamani ilimuacha kwasababu hiyo Simba walimsajili akiwa na injury amekaa nayo ndani ya miezi 4 sasa inamsumbua

🚨 UPDATE:Simba Sc imefikia makubaliano na winga wa TRA UTD 🇹🇿 Ramadhan Salum Ramadhan maarufu k**a Chobwedo kwaajili ya ...
13/04/2026

🚨 UPDATE:

Simba Sc imefikia makubaliano na winga wa TRA UTD 🇹🇿 Ramadhan Salum Ramadhan maarufu k**a Chobwedo kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo msimu ujao.

➡️ Pre-Contract already signed (two years)

Confirmed: Ataondoka TRA mwishoni mwa msimu huu.

🚨 RAMADHAN CHOBWEDO STATSMatch played 18Goals 0Assists 0Goals involments 0Ukiachana na siasa za mpira wa bongo hamna mch...
11/04/2026

🚨 RAMADHAN CHOBWEDO STATS

Match played 18
Goals 0
Assists 0
Goals involments 0

Ukiachana na siasa za mpira wa bongo hamna mchezaji hapa🚮 Very wrong singning for Simba Sc

08/04/2026

Simba walishikwa bega hapa.

08/04/2026

Kuna watu wana ugonjwa wa kusahau humu. Kabla hujasema Pamba vibonde.
Tuwaangalie Gongowazi walivyokula 5G a.k.a Kono la nyani🖐. Simba aloshikwa bega hapa 😂

Hawa ni watu 10 wa nguvu kwa wiki hii walioshiriki na kuchangia mada mbalimbali katika page hii.  Tunasema Ahasanteni sa...
08/04/2026

Hawa ni watu 10 wa nguvu kwa wiki hii walioshiriki na kuchangia mada mbalimbali katika page hii. Tunasema Ahasanteni sana kwa kuwa pamoja nasi.
🎉 Anju Mwatujobe, Bakari Salehe, Sady Bin Seif, Ibrahim Amri, Baraka Mitundwa, Ayubu Mathias Nundi, Jovine Kalema, Ngayama Matongo, Kikusa Shomari, Amos Alphonce

🚨 MAX NZINGELI KWA MASHABIKI WA PAMBA WA KUKODI! “Kuna mchezaji wa Pamba jiji kabla ya mechi alitupa onyo kuwa tujipange...
08/04/2026

🚨 MAX NZINGELI KWA MASHABIKI WA PAMBA WA KUKODI!

“Kuna mchezaji wa Pamba jiji kabla ya mechi alitupa onyo kuwa tujipange, uenda asingesema tungewapa sare. Walijua labda sisi ni Simba, tumewapa wanachostahili!”

Anaitwa Allan Andrés Okello Iniesta 🔥Kwani Gueye ana Assist ngapi huko? 😂😂
08/04/2026

Anaitwa Allan Andrés Okello Iniesta 🔥

Kwani Gueye ana Assist ngapi huko? 😂😂

05/04/2026

Arajiga anasema hakuna foul... Vipi wewe unaonaje hapa?

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SAMBA Sports Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to SAMBA Sports Tanzania:

Shortcuts

Share

Category