Haji Manara

Haji Manara Former Spokesman for Tanzania's biggest clubs Simba SC & Young Africans SC

12/08/2026

Hii nyimbo haina uhusiano na chochote Guys πŸ€ͺπŸ€ͺπŸ€ͺ

12/08/2026

Naitwa Haji Aziiz Sunday Manara Kii.

Sitaki Maswali ila shughuli kwishnehi.

Ghalib eeeeh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Maneno niliyowaambia Young Africans Sports Club  watachukua ubingwa hadi 2030 yanaenda kutimia k**a mkiendelea kushikwa ...
11/08/2026

Maneno niliyowaambia Young Africans Sports Club watachukua ubingwa hadi 2030 yanaenda kutimia k**a mkiendelea kushikwa sharubu kila siku.
Huu usajili ni bora sana kwa Yanga kiufundi na kisiasa za football!!

Kiufupi Mnapigwa nje ndani na wenzenu, nyie endeleeni na drama za migogoro isiyokwisha kila uchwao.
Halaf mnakuja kucomment eti nimeumia na team yangu ya moyoni?
Moyoni hiyo kwioooh??

Mmekuwa underdog hata kwenye usajili?
Selemani Mwalimu anakwenda kuwa Star mkubwa pale Jangwani, ni aina ya Striker wa kiyanga yanga na atafunga mno pale, nyie ndugu zangu mmebakia porojo tu hadi mnamuingiza chaka mdogo wangu Ahmed Ally !!

Imagine ile Clip aliyoitengeneza 😳😳

Ilikuwa Weekend Bomba sana kwa Watu wa football na Burudani kwa ujumla.It’s was amazing na tulienjoy kwa kila kitu, no m...
10/08/2026

Ilikuwa Weekend Bomba sana kwa Watu wa football na Burudani kwa ujumla.

It’s was amazing na tulienjoy kwa kila kitu, no matter team zote tulifungwa nyumbani !!! kwangu yalikuwa majaribio ya kirafiki zaidi kujiandaa na next season.

Pia Level ya utambulisho wa Wachezaji wa juzi na jana haijawahi kufikiwa before,natamani niwape zawadi hata ya maua ya asumini!!
Simba na Yanga mnastahili pongezi nyingi na binafsi mmenipa furaha kubwa kwa kila nukta nilipokuwa nikiangalia Matamasha yenu yaliyomalizika weekend iliyoipita!!

Hongereni sana Wadogo zangu wapendwa Ahmed Ally na Ally Kwmwe, hakika mmeweza nyie na Clubs zenu,Good performance Guys !!

Am proud of you my young brothers
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Na K**a Msemaji wa Team za Taifa nawatakia kila la Kheri Team zote zitakazowakilisha Nchi kwenye msimu huu wa 2026/27.
Maslahi ya Tanzania yatatanguliwa kuliko Clubs zetu pendwa,INSHA'ALLAH
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ πŸ™

Young Africans Sports Club
Simba SC Tanzania

SALAAM TOKA KWA SEMAJI LA TAIFA LA MICHEZO NCHINI. Hongereni Simba Sports kwa Tamasha zuri la jana lenye ubunifu mkubwa ...
09/08/2026

SALAAM TOKA KWA SEMAJI LA TAIFA LA MICHEZO NCHINI.

Hongereni Simba Sports kwa Tamasha zuri la jana lenye ubunifu mkubwa na liliosheheni burudani kabambe,ukiachana na matokeo ya kwenye mechi ambayo haikuwa nzuri kwenu
HAKIKA MMEWEZA
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

All the best Dar es salaam Young Africans leo kwenye Tamasha kubwa la Siku ya Wananchi na tunategemea kupata burudani ya kutosha kwa watakaokwenda Stadium na sie tutakaokuwa Majumbani.
Kachangamsheni Nchi na matukio bora tunayoyatarajia jioni ya leo.
HAKIKA MTAWEZA
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Simba SC Tanzania
Young Africans Sports Club

Pengine labda sijaeleweka au nikubaliane na moyo wangu kwamba kinachofanyika ni deals  hewa 😳Tunasajili Foreign Players ...
24/07/2026

Pengine labda sijaeleweka au nikubaliane na moyo wangu kwamba kinachofanyika ni deals hewa 😳

Tunasajili Foreign Players kumi na Mbili ambao wengi wao uwezo wao hautofautiani na hawa local players wetu.
Kwa nini tusisajili foreigners, let’s say Watano hadi Sita wenye Quality kubwa? tukawachanganya na hawa wakwetu,kuliko kuleta Waomba Mungu na ikifika dirisha dogo tunawatema tena k**a kawaida yetu?

Au k**a tunasajili tu kwa fashion ili kufurahisha fans wetu mseme very clear, Mnawaaminisha uongo uongo mwisho wa siku ni yale yale ya kila siku!! Business as usual 😳

Labda kauli zangu haziwafurahisha sana lakini kiukweli mliopewa dhamana hamtimizi malengo ya Washabiki wa Soka nchini ya kuweza one day kushinda Champions league ya Afrika au hata kufika Semi final !!

Sajili zenu ni hadaa za kuzuga Wafuasi wenu ili kujionyesha mna target kubwa ilhali nyie wenyewe mnajua ni full Chupli za kushindana hapa hapa kwa Mama Samia !!

Ok,k**a ilivyo ada ya Viongozi wengi wa kibongo mnaotaka kusifiwa na kusujudiwa tu, na kila anaekosoa ni adui.
Sasa nawaelekeza leteni Chawaz wenu wanitukane ila MSG SENT na muda utaongea na haya β€˜ MAGALASA’ yenu mnayoleta ya dola laki lakI PLUS 10%😳😳😳😳😳

Nb:UKWELI MCHUNGU

Leo tarehe 29/5/06 baada ya Swala ya Ijumaa saa saba na nusu kwenye hoteli ya Johari Rotana hapa jijini Dar es salaam,,n...
29/05/2026

Leo tarehe 29/5/06 baada ya Swala ya Ijumaa saa saba na nusu kwenye hoteli ya Johari Rotana hapa jijini Dar es salaam,,nitaongea na Waandishi wa habari tukiwa pamoja na Baraza la Michezo la Taifa ( BMT )

Karibuni sana Wanahabari wenzanguπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Ndio football but na Sisi tupunguze midomo midomo , tunachonga mno kupitiliza wakati kocha wetu ni Muomba Mungu tu!!Tuli...
30/04/2026

Ndio football but na Sisi tupunguze midomo midomo , tunachonga mno kupitiliza wakati kocha wetu ni Muomba Mungu tu!!

Tulionyesha kujiamini kupitiliza nje ya uwanja na kufanya mbwembwe nyingi za kipuuzi,Show za kindezi kibao kabla ya mechi tukasahau uzito wa kukutana na Makolo.

Mnawaaminisha hadi Washabiki wetu kwamba ni ise tu kwetu,Mechi hz hazihitaji mazoea.

Derby haihitaji dharau na tusipokuwa makini watatukanda tena jumapili!!

Na Wallah Wakishinda ntakuja na viboko hapo kaunda kuwatandika.

Zimebaki Saa Chache Mno kabla ya Wanaume Wawili kutifuana kule Zanzibar.Ninategemea kuona Mechi nzuri itakayoamua Bingwa...
29/04/2026

Zimebaki Saa Chache Mno kabla ya Wanaume Wawili kutifuana kule Zanzibar.

Ninategemea kuona Mechi nzuri itakayoamua Bingwa wa kombe muhimu la Muungano leo pale Amaan Stadium !!

Natamani kuona Team ya ikishinda tena mechi hii lakini sio rahisi sana,Simba imejiimarisha uwanjani, tunapaswa kudhihirisha ubora wetu kwa mikakati maalum huku tukiweka akiba ya mchezo wa Ligi kuu pale Mbweni Jumapili.

Address

Kariakoo
Dar Es Salaam

Telephone

+255779528442

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Haji Manara posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category