Tyger Trainer

Tyger Trainer Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tyger Trainer, Gym/Physical Fitness Center, TABATA, Dar es Salaam.

05/01/2024

HABARI WATU WANGU WA NGUVU WA FACEBOOK πŸ’ͺ🏿 ,SAFARI HII NMEKUJA NA UJIO MPYA KWA AJILI YENU WAPENDA MAZOEZI NA WANAOTAKA TAKA KUJIUNGA NA MAZOEZI KWA MARA YA KWANZA.NAPENDA KUITAMBULISHA LOGO YANGU MPYA ITAKAYOKUWA INATUMIKA KATIKA PROGRAMU ZANG ZA MAZOEZI ,NA PIA NMEWAANDALIA NGUO ZA MAZOEZI ZITAKAZOKUA NA LOGO AMBAZO KWA ATAKAE HiTAJI ATANICHEKI KWA NAMBA YA SIMU IPO CHINI HAPAπŸ‘‡πŸ‘‡

USISITE KUNICHEK KWA PROGRAMU MBALI MBALI ZA MAZOEZI HASA KWA WANAOTAKA KUPUNGUZA MWILI NA KWA USIMAMIZI MZURI KABISA.

πŸ“ž 0686704593 TYGER TRAINER πŸ“ž 0686704593 TYGER TRAINER

02/01/2024

RESISTANCE BAND FULL BODY WORKOUT..

01/01/2024

Ndugu zanguni hayo ni mazoezi mazuri sana yenye faida sana kwa haraka Mwilini na utendaji wake mzuri kwanza yatakusaidia kukujengea pumzi kwa haraka iwapo utayafanya mazoez ayo mara kwa mara, pia itakutengenezea wepesi na kuwa mwepesi mwili mzima, itakusaidia pia kushusha weight k**a unachangamoto ya uzito mkubwa.

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER

30/12/2023

Hayo ni mazoezi yenye faida kubwa sana katika miili yetu husaidia kulipunguza tumbo lako,kukaza nyama nyama uzembe za tumbo,husaidia kuzijenga ama kuziimarisha six packs iwapo utakuwa katika mpangilio mzuri wa ulaji wa vyakula basi itakuwa ni raisi k**a ukifanya mazoezi ya tumbo na tumbo lako kukupa mabadiliko.

Kwa mahitaji ya Mwalimu wa mazoezi (TRAINER) Basi usijali wasiliana na mimi kupitia page yangu hii ama kwa watsap.

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER

29/12/2023

WEIGHT LOSS WORKOUTS. labda niwasaidie hapa watu wa (BodyGymFitness) naomba mnielewe hapa najua wengi hupenda mazoezi ya kunyanyua uzito tu!(weight press) lakini naomba niwafahamishe ukifanya mazoezi hayo tuu! huwa ynakulemaza na unajikuta unatanuka mwili na uzito wa mwili unaongezeka na unakuwa mzito naomba ufike wakati utengenezee Mwili wako upe wepesi na uwe fiti itakusaidia kubalance na uzito unauhijika kwenye mwili wako kwahiyo naomba iwe fundisho hii kwa watu wanaopenda kunyanyua vyuma tuu!

Hayo ni mazoezi mazuri sana yatakusaidia mambo matatu tu 3 πŸ‘‡
βœ…- kuondoa uzito wa mwili mzima
βœ…- kukupa pumzi nzuri
βœ…- kuwa fit
Nawaomba kila zoezi mlilo liona hapo mfanye reps 12x 3 kwa kila zoezi kwa hayo yote.

Kwa mahitaji ya Mwalimu wa mazoezi (TRAINER) Basi usijali wasiliana na mimi kupitia page yangu hii ama kwa watsap namba 0686704593
TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER

28/12/2023

Kwa wale wenye nyama nyama za uzembe kwenye mikono, makwapa na nyama nyama uzembe za nyuma ya mgongo basi haya ni mazoezi mazuri zuri sana kwenu yana faida kubwa san hasa kuziondoa na kuzikaza nyama nyama uzembe iwapo utalifanya kila siku yatakupa matokeo chanya (+), Fanya k**a ivyo kila zoezi reps 12 x round 3

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER

TAFADHALI WASILIANA NA MIMI TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER πŸ“ž0686704593 TYGER TRAINER

Address

TABATA
Dar Es Salaam
LUHANGA

Telephone

+255686704593

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tyger Trainer posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share