Urafiki Boxing academy

Urafiki Boxing academy Kadiri unavyofanya mazoezi katika kituo chetu itakusaidia kuboresha kipaji chako na utimamu wa mwili zaidi na kupata matokeo makubwa kiafya na kipaji chako

Hii ni sehemu ambayo watoto,vijana ,na wazee jinsia zote wanapata kujifunza mchezo wa ngumi kwa utaalamu wa juu ,ni klabu pekee inayojivunia kutoa mabingwa wa mchezo huu . Vilevile ni sehemu ambayo ukapata mazoezi ya aerobics na anaerobics kwa michezo ya mtu mmoja mmoja . Karibuni wote.

Mwamba wa Urafiki atinga nusu fainali Tanga 2026
28/08/2026

Mwamba wa Urafiki atinga nusu fainali Tanga 2026

12/08/2026

Salamu wafuasi wangu wapya! Nina furaha kuwa nanyi! Laco Ste, Wix-Dax Daniel, Hassani Shafi

05/08/2026
05/08/2026

Champion

Watu kwao Mabingwa milele
03/08/2026

Watu kwao
Mabingwa milele

Address

Urafiki
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Tuesday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Wednesday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Thursday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00
Friday 09:00 - 17:00
18:00 - 19:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Urafiki Boxing academy posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share