08/04/2022
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Hassan Abbas (Katikati) akiwa na Rais wa TFFA Chief Morison (Kushoto) na Makamu wa Rais wa TFFA Pascal Chang’a (Kulia), mara baada ya kumaliza mazungumzo yao kuhusu Maendeleo ya Michezo ya TFFA (Freestyle Football, Neymar Jr’s Five, Teqball, Panna na Chinloe) na Chama kwa ujumla kwenye ukumbi wa Uwanja wa Benjamini W. Mkapa Dar es Salaam leo tarehe 08 Aprili, 2022.
Misimu mi4 ya Mabingwa wa kiume wa kombe la Dunia tangu lilipoanzishwa 2016 hadi 2019.
________________________________________________
Utafutaji umefunguliwa!!!.
Je, unacho kile kinachohitajika ili ( ).
Unaweza kuwa sehemu ya timu nzuri zaidi ya duniani kote katika hatua Mbili rahisi!
Hatua ya 1
Rekodi na upakie video yako ya sekunde 60 kwenye Instagram inayoonyesha ujuzi wako na halafu ukiwa unakunywa Redbull.
Hatua ya 2
Tag na na vilevile ukitumia hashtag na ili kupata nafasi ya kushinda na kucheza na Neymar Jr.
Bahati njema!🍀.
________________________________________________
Jiandae kwa Semina na Shindano la Red Bull Neymar Jr’s Five, ukutane na ucheze na Balozi wetu na mabalozi wenzie Sita kutoka Timu ya Taifa ya Mabalozi ~ -ME.
Aidha, jiandae kwenda kukutana na kucheza na timu ya Mchezaji Mkubwa Duniani nchini Qatar.
.tanzania