Magharibi Jogging & Sports Club

Magharibi Jogging & Sports Club Tunafanya michezo mbalimbali k**a kukimbia jogging, football, netball na michezo mengine mingi

Mwambie sina___________@
07/10/2018

Mwambie sina___________@

Ilikuwa mkuranga hiyo na efm jogging mziki mnene tunasepa na kijiji
18/10/2016

Ilikuwa mkuranga hiyo na efm jogging mziki mnene tunasepa na kijiji

Magharib Jogging & Sports Club tunaendelea kufanya yetu ndan ya Tabata bima
10/09/2016

Magharib Jogging & Sports Club tunaendelea kufanya yetu ndan ya Tabata bima

26/07/2016

Tarehe 31/07/2016 tunaizindua rasmi Jogging uzinduzi hu utafanyika katika uwanja wa NSSF Tabata Magengeni jiranu kabisa na Kanisa Roman Katoliki" karibuni woote!

05/07/2016

Tunamshukuru M/Mungu kwa siku ya jana klabu yetu kwa kuweza kufuturisha na Mungu akitujaalia mwaka ujao tutafanya tena tukio hili na tunawashukuru wale woote walioitikia mwaliko wetu" Tunasema shukran sana na Asanten kwa kuja

Address

Tabata
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Magharibi Jogging & Sports Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share