Blackstars Football Club

Blackstars Football Club Kutengeneza na kukuza vipaji vya wachezaji na kuunda timu bora

Hichi kipindi watu wanakimiss mechi za kutoka+ washikaji wakipata burudani mazoezin yaani kisa CORONA ya ALLAH wewe ndio...
10/05/2020

Hichi kipindi watu wanakimiss mechi za kutoka+ washikaji wakipata burudani mazoezin yaani kisa CORONA ya ALLAH wewe ndio muweza wa yote tunakuomba utusamehe makosa yetu

Juhudi ndio zimetufikisha hapa
22/10/2019

Juhudi ndio zimetufikisha hapa

27/09/2016

Wadau wa michezo kwa ujumla pamoja na wadau wa blackstars football club timu yetu inawasilisha maombi ya mchango wa kushiriki ligi ya jez na mipira inayotarajia kuanza mwez wa kumi hivyo basi tunahitaji michango kwa hali na mali ili tuweze kuzikabili changamoto za kwny ligi kiingilio kinahitajika sh 20000,tunahitaji dawa spray za kuchua2 sh24000 volini2 sh 8000,spirits na ussol pia tunahitaji mdhamin wa kutusaidia maji wakat wa mech na mchango wowote wa fedha ambazo utakuwa umejaaliwa kutusaidia .Timu yetu inàpatikana wazo A tunatumia kiwanja cha kisanga b green carpet k**a utataka kutufikia unakaribishwa uje utuangalie karibuni sana kwa watakaopenda kuwasilisha michango yao kwa njia ya tigo pesa 0673399672 Hamis Hassan Airtel money 0682254129 Samir Bashir .kwa mawasiliano zaidi piga 0718051659Hamis Hassan 0654008580 Samir Bashir Ahsant

Njoo kwetu blackstars ha2bagui tuna timu ya wakubwa na wadogo hapo 2memaliza matiz asubh . Nyote mnakaribishwa k**a una ...
13/09/2016

Njoo kwetu blackstars ha2bagui tuna timu ya wakubwa na wadogo hapo 2memaliza matiz asubh . Nyote mnakaribishwa k**a una swali uliza

Kikosi cha jana tulishinda goli moja bila mambo mazuri zaid yanakuja mbelen timu imerud rasmi
31/01/2016

Kikosi cha jana tulishinda goli moja bila mambo mazuri zaid yanakuja mbelen timu imerud rasmi

28/11/2015

Kesho asubh kuanzia saa 05:30 Blackstars tutakimbia road walk kutoka wazo kwa makamba mpaka beach za rungwe karibuni sana!!

Kwakweli hawa ni wadogo zetu kwny timu ukiwaona wakiwa uwanjan yaan ni hatar unatamani uwaibe wakachezee timu yako
22/11/2015

Kwakweli hawa ni wadogo zetu kwny timu ukiwaona wakiwa uwanjan yaan ni hatar unatamani uwaibe wakachezee timu yako

Viwanja vya Mlimani chuo kikuu cha Dar es salaam
22/11/2015

Viwanja vya Mlimani chuo kikuu cha Dar es salaam

Kikosi cha jana kilikuwa ni hatar maana tulichowafany hawaamini
22/11/2015

Kikosi cha jana kilikuwa ni hatar maana tulichowafany hawaamini

Kwakweli ukituangalia tunaonekana ni kazkaz
22/11/2015

Kwakweli ukituangalia tunaonekana ni kazkaz

Blackstars team management kwny ubora wao
22/11/2015

Blackstars team management kwny ubora wao

22/11/2015

Ile mechi tuliyocheza na alpha high school jana viwanja vya Mlimani tumeshinda 5-2 kwa upande wa blackstars magoli wameshinda Hamis Kiiza2 Micker1 john1 na moja wamejitia kamba wenyew

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Blackstars Football Club posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category