Abduh Singano

Abduh Singano Sport ap

Manchester united ni timu kubwa kibiashara na sio kiufundiUkitazama leo ilivyokuwa ikicheza unaweza kusema ni k**a Leist...
02/04/2022

Manchester united ni timu kubwa kibiashara na sio kiufundi
Ukitazama leo ilivyokuwa ikicheza unaweza kusema ni k**a Leister city ndio walikuwa. Nyumbani then ,Man u ipo A way... Performance mbovu sana.aikustahili Ushindi wowote siku ya leo
Ukinambia bado kuna matumaini ya 🔝 4 sidhani k**a nitakusikiliza tena. Wachezaji wote fitness yao aiko sawa ndani ya uwanja.

Edward  Mendy ni kijana Mwenye bahati sana.🇸🇳___Infact Mwanasoka    Mwenye bahati sana kwa hivi karibuni...➡️ UEFA-----s...
02/04/2022

Edward Mendy ni kijana Mwenye bahati sana.🇸🇳___Infact Mwanasoka Mwenye bahati sana kwa hivi karibuni...

➡️ UEFA-----super Cup

↪️Mshindi wa Uefa champions league akiwa na timu yake ya Chelsea.
↪️Golikipa bora wa Mwaka na mshindi wa Afcon.

↪️Mshindi wa kombe la dunia la klabu ya fifa Pia Anakwenda kuitumikia timu yake Kombe la dunia Mwaka huu.☣️

Wayne Rooney alivyotoa lake la moyoni kuitamani timu yake ya zamani.
30/03/2022

Wayne Rooney alivyotoa lake la moyoni kuitamani timu yake ya zamani.

26/03/2022
18/03/2022

Tatizo Mungu fundi sana.

Abduh Singano

12/03/2022



Nashukuru Mungu nipo salaam

Himid... Mao

25/02/2022

Wachezaji ndio watu pekee watakao fanya mpira uwe na mashabiki wengi Uwanjani

25/02/2022



Haijalishi kitu chochote kinachotokea katika maisha yako malizana na watu vizuri.

Kipindi cha Kwanza simba wameweza kumiliki mpila zaidi ya wapinzani wao
03/02/2022

Kipindi cha Kwanza simba wameweza kumiliki mpila zaidi ya wapinzani wao

Address

Ukonga
Dar Es Salaam

Telephone

+255654004819

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abduh Singano posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Abduh Singano:

Share