01/06/2017
≡Navigation
UHALISIA KATIKA MAISHA
MENU
Search...
Search
Seebait.com 2017SeeBait
Seebait.com 2017SeeBait
Home » kimataifa » TRUMP:MAREKANI YAJIBU MAPIGO YA KOREA KASKAZINI KWA KURUSHA KOMBOLA LA MASAFA MAREFU ZAIDI
TRUMP:MAREKANI YAJIBU MAPIGO YA KOREA KASKAZINI KWA KURUSHA KOMBOLA LA MASAFA MAREFU ZAIDI
AUTHOR HASSAN WOGOLE
THURSDAY, JUNE 1, 2017
Uongozi wa kijeshi wa marekani umeamua kujibu mapigo ya kiongozi wa korea kaskazini Kim Jong Un ambaye mara kwa mara amekuwa akifanya majaribio ya makombola yake ya masfa marefu akiwa na kusudio la kupata kombola litakalofika marekani ikiwa litapigwa kutoka nyumbani kwake.
Hata hivyo mbio hizo za taifa hili la kikomunisti bado hazijafanikiwa kwani ndio kwanza wana makombora yanayotembea umbali wa kilomita 1000 tu hivyo kufanya kuzidisha juhudi zaidi ktk kukamilisha mpango wao huo wa kupata kombola la kinyulia litakalo ifikia marekani hasa mji mkuuwa Washinnghton.
Jana jumatano Jeshi la majini la marekani Us Navy limefanya majaribio la kombola lao ambalo lilifanikiwa kusafiri umbali wa kilomita 6700 kuelekea mashariki mwa bahari ya Pasifiki kuelekea visiwa vya hawaii, hata hivyo jaribio la mwaka 1990 la kombola la Sineva lilifanikiwa kusafiri umbali wa kilomita 11,547.
Marekani imewekeza zaidi ya dola bilioni 40 toka mwaka 2002 ktk ugunduzi huo wa makombola ya masafa marefu intercontinental ballistic missile ( ICBM) na mtambo wa kuzuia makombola ya masafa marefu THAAD.
Jaribio hili la jana limeigharimu serikali ya marekani zaidi ya dola milioni 244 nakusema mwezi agosti au septemba wanatarajia kufanya majaribio mengine tena ktk bahari hiyo ya pasifiki.
Kombola likijaribiwa jana.
Moja ya kituo cha rada ya kijeshi kinachoelea baharini kinachomilikiwa na jeshi la marekani kwa ajili ya wasiliano ya kijeshi
Mtambo THAAD ukiwa tayari kwa kuharibu na kusambaratisha bomu lolote litakoloelekezwa kwao.
SHARE : FACEBOOK TWITTER GOOGLE+ LINTASME
NEXT
WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA UGIRIKI AFARIKI DUNIA AKIWA NA MIAKA 98
Related Post:
NDEGE YA KIVITA YA URUSI YAUA WANAJESHI WATATU WA UTURUKI
QATAR AIRWAYS WAANZISHA SAFARI NDEFU ZAIDI KWA NDEGE YA ABIRIA KUWAHI KUFANYIKA DUNIANI
FARMAJO ACHAGULIWA KUWA RAIS WA SOMALIA
VITA,UMASIKINI NA NJAA VYAIMALIZA YEMEN
JACOB ZUMA APATA UPINZANI AKITOA HOTUBA
0 Comments "TRUMP:MAREKANI YAJIBU MAPIGO YA KOREA KASKAZINI KWA KURUSHA KOMBOLA LA MASAFA MAREFU ZAIDI"
POPULAR POSTS
MELI MPYA YA KIVITA YA CHINA YASHANGAZA MATAIFA YA MAGHARIBI
Mnamo tarehe 26 april 2017 china imeishangaza dunia kwa kuzindua meli yake mpya kubwa ya kivita yaambayo itatumika kwa ajili ya kubebea nde...
KAMATI YA UCHUNGUZI WA SAKATA LA UVAMIZI WA CLOUDS MEDIA YAGONGA MWAMBA
Ile k**ati iliyoundwa na waziri wa Habari,utamadun, sanaa na michezo Mh. Moses Nape Nnauye ilyounwa na Hassan Abass,Frank Balile,Johaness N...
BASI MPYA YA MH.MSUKUMA YAZUA UTATA KISA KUWA NA BANGO LINALOSOMEKA "VYETI FEKI"
Gari kubwa basi ya abiria inayoyafnya kazi zake ukanda wa ziwa victoria imeleta kashkash ba kuk**atwa baada ya ya kuwa na bango lilisomeka &...
MAGAZETI YA LEO ALHAMISI APRIL 27 2017
ALIYETISHIA BASTOLA HADHARANI AWEKWA KIKAANGONI
Siku ya machi 23 Mh.Moses Nape Nnauye aliandaa kufanya mkutano na waandishi wa habari ktk hoteli ya protea na kushindikana kufanya k**a ilv...
GWAJIMA MUBASHARA AKIWA CLOUDS REDIO KTK KIPINDI CHA POWER BREAKFAST
Kwa maelezo zaidi ingia akaunti ya instagram cloudtz kuona ujio wake. Asema hana mpango wa kugombea ubunge hata kidogo huko koro...
GENERALI WA POLISI ALIYEUAWA UGANDA AZIKWA
Ijumaa ya tarehe 17/3/2017 watu wenye bunduki walivamia gari ya Inspekta msaidizi wa jeshi la polisi ya nchini Uganda Bwana Andrew Felix Kaw...
MANGE KIMAMBI MATATANI
Mtanzania anayeishi Los angeles nchini mareakni ajulikanae kwa majina ya Mange Kimambi mwenyee umri wa miaka 34 amejikuta matatani baada ya ...
MKUU WA SHULE AVULIWA MADARAKA KWA KUZUNGUMZA UKWELI KUHUSU MAZINGIRA CHAKAVU YA SHULE YAKE
Miongoni mwa vyeo ambavyo watu wanapewa kwa kujuana na kunyenyekeana basi ni kuwa mkuu wa shule kwani k**a mkuu wa shule lazima uipeleke shu...
WALIMU 7460 WA SEKONDARI KUHAMISHIWA SHULE ZA MSINGI
Serikali imekusudia kuhamisha walimu 7460 wa masoma ya sanaa wenye elimu ya shahada na stashahada waliozidi ktk shule hizo za sekondari,hatu...
LABELS
kimataifa
makala
kitaifa
burudani
teknolojia
Copyright © 2014 : UHALISIA KATIKA MAISHA - All Rights Reserved
Design Template by IS Published By Kaizen Template - Support KaizenThemes - Powered by Blogger
Back To Top
SeeBait.com - Digital Advertising Network