13/11/2025
🔜
Tunatarajia kukipiga dhidi ya AS Maniema Union kwenye mechi yetu ya kwanza ya hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, itakayofanyika Uwanja wa Stade Des Martyrs, Kinshasa, DR Congo, Novemba 23, 2025, saa 10.00 jioni (saa za Afrika Mashariki).