Yanga Sc Group of Supporters

Yanga Sc Group of Supporters Page hii ni maalumu kwa Mashabiki wote wa Yanga Sc.....
Yanga Sc Group of Supporters
NI TABIA YETU
(7)

Uwanja unaenda kujengwa 🔥
14/05/2026

Uwanja unaenda kujengwa 🔥

Kigomaaaaaaaaa
14/05/2026

Kigomaaaaaaaaa

Alifunga goli against Simba tukapata sare , hayo ni makosa ya kawaida kwenye mechi hatutakiwi kususa
14/05/2026

Alifunga goli against Simba tukapata sare , hayo ni makosa ya kawaida kwenye mechi hatutakiwi kususa

13/05/2026
Pedro alikuwa anashinda ila analaumiwa , haya huyu anae fungwa lawama anaepuka vipi?Maamuzi ya kumfukuza Pedro yalikuwa ...
13/05/2026

Pedro alikuwa anashinda ila analaumiwa , haya huyu anae fungwa lawama anaepuka vipi?

Maamuzi ya kumfukuza Pedro yalikuwa ya kishabiki hayakuzingatia weledi

Wengi mtapinga ila hata huu Ubingwa tunaweza kuukosa msimu huu kwa sababu ya maamuzi yaliyofanyika

Eti kwa sababu Influencers wamesema kocha mbaya basi ndio anafukuzwa , tumekuwa na Unbeaten yetu wakati wa Pedro na bado gap la point lilikuwa 5

Mechi mbili tu baada ya Pedro kuondoka tumefungwa kwa mara ya kwanza

Bora uwe na kocha anae shinda mechi kuliko kuwa na kocha anae taka kuburudisha mashabiki
13/05/2026

Bora uwe na kocha anae shinda mechi kuliko kuwa na kocha anae taka kuburudisha mashabiki

Tujifunze kuheshimu taaluma za watu
13/05/2026

Tujifunze kuheshimu taaluma za watu

HT Dodoma Jiji 1 Vs 2 Yanga Sc
13/05/2026

HT
Dodoma Jiji 1 Vs 2 Yanga Sc

Kila laheri Wananchi katika Mechi ya leo
13/05/2026

Kila laheri Wananchi katika Mechi ya leo

Hizi taarifa za Fenerbache kumtaka Star wetu zina ukweli ?
13/05/2026

Hizi taarifa za Fenerbache kumtaka Star wetu zina ukweli ?

Arusha Stadium 🙌🙌🙌 Tusubiri GSM Stadium sasa
12/05/2026

Arusha Stadium 🙌🙌🙌 Tusubiri GSM Stadium sasa

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255759727832

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yanga Sc Group of Supporters posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category