18/03/2026
🔥 UNATAFUTA WAZO LA BIASHARA YA KUKUONGEZEA KIPATO KWA HARAKA 🔥
🌿Acla Honey tunakupa fursa ya kuwa msambazaji wa bidhaa inayosaidia kuboresha afya ya kina mama,baba na watoto yaani jamii nzima kwa ujumla.
🌿Asali ni bidhaa inayouzwa KILA SIKU:
afya, lishe, tiba asilia—wateja hawakauki.
K**a unaweza kuuza sukari, soda au mchele,
BASI UNAWEZA KUUZA ASALI.
Hii si ajira—ni biashara inayokupa hela kwa mikono yako mwenyewe.
✔ Unanunua asali kwa BEI YA JUMLA
✔ Unauza kwa BEI YA SOKO
✔ FAIDA ni yako moja kwa moja
✔ Hakuna kodi ya duka
✔ Hakuna kusubiri malipo ya mteja
📦 Tunakupa bidhaa katoni zenye pisi 20 za ujazo wa 250g kwa Tsh 130,000.
📊 Tunakupa mwongozo wa mauzo
💰 Wewe unachukua faida,Tsh 25,000 nakuendelea.
Karibu,kwa mawasiliano zaidi 0717944435