20/11/2023
Vituko huko Brazil.
Kwenye mchezo kati ya Corinthians dhidi ya Gremio.
Dakika ya 7: Corinthians walipata mkwaju wa penati. Lakini VAR ikabadilisha uamuzi wa refa, na penati haikutolewa.
Dskika ya 10: Mchezaji wa Corinthians alicheza rafu ya hatari kwa mchezaji wa Gremio, refa akamuonyesha kadi ya manjano. Lakini VAR iliingilia na kumfanya refa afute kadi ya njano, na kumuonyesha kadi nyekundu.
Wakati mechi inaendelea. Kocha wa Corinthians, alionekana akiondoka uwanjani, na alielekea chumba cha VAR na kutembeza kichapo kwa marefa waliyokuwa mule ndani.