ELS SIMBA news

ELS SIMBA news Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ELS SIMBA news, Esports Team, Dar es Salaam.

Kikosi cha leo dhidi ya Power Dynamos.
16/09/2023

Kikosi cha leo dhidi ya Power Dynamos.

Tuleyamba   2023/24 tuli kwabene twa la kumanya ba Power Dynamos.
16/09/2023

Tuleyamba 2023/24 tuli kwabene twa la kumanya ba Power Dynamos.

Levy Mwanawasa 🏟️Makala maalumu kuhusu uwanja huu ambao tutacheza leo inapatikana kwenye Simba App.
16/09/2023

Levy Mwanawasa 🏟️

Makala maalumu kuhusu uwanja huu ambao tutacheza leo inapatikana kwenye Simba App.

Tayari kwa kazi.
15/09/2023

Tayari kwa kazi.

Tumefika salama nchini Zambia kuja kuweka heshima kwa klabu na taifa letu 💪
14/09/2023

Tumefika salama nchini Zambia kuja kuweka heshima kwa klabu na taifa letu 💪

Wachezaji 2️⃣4️⃣ ambao wanasafiri kwenda nchini Zambia kuwakabili Power Dynamos.
14/09/2023

Wachezaji 2️⃣4️⃣ ambao wanasafiri kwenda nchini Zambia kuwakabili Power Dynamos.

Safari kuelekea Ndola, Zambia.
14/09/2023

Safari kuelekea Ndola, Zambia.

Kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya kwanza akiwa Msimbazi. Hongera kwa kuongeza mwaka Leandre W***y Essomba Onana 🎉
14/09/2023

Kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya kwanza akiwa Msimbazi. Hongera kwa kuongeza mwaka Leandre W***y Essomba Onana 🎉

📸 Mazoezi ya mwisho tukiwa hapa nchini kabla ya kuanza safari kwenda nchini Zambia.
14/09/2023

📸 Mazoezi ya mwisho tukiwa hapa nchini kabla ya kuanza safari kwenda nchini Zambia.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ELS SIMBA news posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share