Simba Kwanza

Simba Kwanza KARIBU SIMBA KWANZA

Hapa utapata habari zote za Simba Sc
Tunakuomba Follow Page na Like Page

13/06/2023
Follow Simba KwanzaTunaweza kusema kuwa huu msimu wa (2022/2023) Ulikuwa msimu bora sana kwa (Saido) kwa kutwaa tuzo nyi...
13/06/2023

Follow Simba Kwanza

Tunaweza kusema kuwa huu msimu wa (2022/2023) Ulikuwa msimu bora sana kwa (Saido) kwa kutwaa tuzo nyingi zaidi👇👇👇👇

(1) Mfungaji Bora wa (NBCPREMIER)
(2) Kiungo Bora wa (NBCPREMIER)
(3) Fair Play (NBCPREMIER)

Hongera sana Godfather wa Bujumbura hii yote ni juudi yako kujituma kwa moyo wako wote hii ndo faida yakuwa (Big Play)

Tunatambua k**a Simba ingekuwa bingwa wa NBCPREMIER basi tungeona tuzo ya (MVP) kwako ila ndo hivyo tujipange kwa mapambano ili kesho tuwe imara zaidi naomba kuwambia wana Simba kuwa tuzo ya (MVP) ipo sawa akuna figisu (Mayele ) Mafanikio ya timu yake yamempa iyo tuzo Hongera kwake🙏

(NB). TUNAOMBA MSHEREKEHE SIKU YENU YA FURAHA YA MWISHO COZ TUNAENDA KUFANYA MAPINDUZI YA KIBABE MSIMU WA (2023/2024) MWANA SIMBA KUWA NA AMANI💪

Yes ukipenda unaweza kumwita (Kiungo Punda ) huu msimu kawa na kiwango cha (Juu Sana) toka mwamba katua Simba kila kocha...
21/05/2023

Yes ukipenda unaweza kumwita (Kiungo Punda ) huu msimu kawa na kiwango cha (Juu Sana) toka mwamba katua Simba kila kocha anaeku Simba basi mzamiru anakuwa na namba ya kudumu

Kwangu naweza sema uyu ndo (Kante) wa bongo sio mtu wa kusifiwa sana wala kuongea sana kaacha miguu yake iweze kuongea zaidi yupo katika tuzo za Ligi kuu msimu huu katika nafasi ya (Mchezaji Bora wa Mwaka) (Kiungo Bora wa Mwaka) kwangu namuombea sana kuweza kuchukua japo tuzo ya Kiungo bora sababu kwenye mchezaji bora hapo kuna vigogo sana ila yote wewe ni (Fundi) Tumpe (Maua) yake...

KWA HABARI ZAIDI LIKE PAGE YETU HII

Anaendelea kuimarika na kurudi kwenye hali nzuri ya kuwatumikia Wanasimba.      KWA HABARI ZAIDI LIKE PAGE YETU (HII)
20/05/2023

Anaendelea kuimarika na kurudi kwenye hali nzuri ya kuwatumikia Wanasimba.

KWA HABARI ZAIDI LIKE PAGE YETU (HII)

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255764711419

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Simba Kwanza posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category