jay tunda simba sports fan

jay tunda simba sports fan Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from jay tunda simba sports fan, Sports Team, Dar es Salaam.

Bado mengi mazuri yatakuja kupitia kwa Wonder Kid, PB 1️⃣1️⃣
16/05/2023

Bado mengi mazuri yatakuja kupitia kwa Wonder Kid, PB 1️⃣1️⃣

Mwakani mapema sanaOne team 🦁🦁🦁🦁
16/05/2023

Mwakani mapema sana
One team 🦁🦁🦁🦁

Beki wa kulia wa Simba SC, Shomari Kapombe amesema ameshuhudia mabadiliko chanya ndani ya klabu hiyo tangu kutua kwake m...
16/05/2023

Beki wa kulia wa Simba SC, Shomari Kapombe amesema ameshuhudia mabadiliko chanya ndani ya klabu hiyo tangu kutua kwake mwaka 2011 japo kuna maboresho yanapaswa kufanyika ili kupiga hatu zaidi kimaendeleo.

“Kikubwa ambacho nachotamani Simba wakifanye siku moja nikaona Simba ina Technical Director (Mkurugenzi wa Ufundi)” sehemu ya maneno ya Shomari Kapombe alipozungumza na Simba TV.

Je, wewe watamani Simba wafanye marekebisho eneo gani?


Watoto w msimbazi❤️❤️❤️❤️
16/05/2023

Watoto w msimbazi❤️❤️❤️❤️

Tunafurahi pamoja, tunaumia pamoja.
20/03/2023

Tunafurahi pamoja, tunaumia pamoja.

Record imeandikwaWe are unstoppable
20/03/2023

Record imeandikwa
We are unstoppable

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when jay tunda simba sports fan posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to jay tunda simba sports fan:

Share

Category