Tanzania muscle

Tanzania muscle Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tanzania muscle, Gym/Physical Fitness Center, Dar-es-Salaam Road, Morogoro, Dar es Salaam.

KARIBU : WELCOME : BIENVENIDO : BIENVENU : WILLKOMMEN : VäLCOMMEN : أهلا بك
�. �. �
This is page for motivating bodybuilders in Tanzania and East africa at large.

24/04/2026

Tanzanian champion 🫡

Tanzania to the world 🌎Pro qualifier heavyweight champion in South Africa  Haijaisha Mpaka iishe 💪
04/04/2026

Tanzania to the world 🌎
Pro qualifier heavyweight champion in South Africa
Haijaisha Mpaka iishe 💪

22/03/2026

Tanzania to the world

🏋️
07/01/2026

🏋️

20/12/2025

The masterpiece of bodybuilding

The power of being the best is manifested by .Hongera kwa kushiriki mashindano makubwa Afrika na kupata pro card 👏👏Keep ...
08/12/2025

The power of being the best is manifested by .
Hongera kwa kushiriki mashindano makubwa Afrika na kupata pro card 👏👏
Keep pushing hard until you make it to the best level and you can do it 💪

Weekend flexibility 💪Meet         🇹🇿
01/06/2024

Weekend flexibility 💪
Meet
🇹🇿

Barua ya wazi kwa wizara ya michezo Sanaa na utamaduni, kijana mwenzetu    Kwenye hii page hawa ni watanzania wanaofanya...
17/05/2024

Barua ya wazi kwa wizara ya michezo Sanaa na utamaduni, kijana mwenzetu
Kwenye hii page hawa ni watanzania wanaofanya mchezo wa kutunisha misuli na Lengo la barua hii ni kukueleza changamoto wanazopitia bodybuilder wa hapa nchini. Huu mchezo unazidi kuvutia Vijana wengi lakini bado ukuaji wake unasuasua mno.

Huu ni mchezo maarufu sana katıka Nchi nyingine Ila hapa kwetu umekua K**a haupo na watunisha misuli wengi wameishia kuajiriwa kuwa bodyguard au walinzi tu kwani hamna fursa wanapata kwa kuwekeza kwenye mchezo huu.

Watunisha misuli hawahitaji vitu vingi, wanahitaji uwepo wa mashindano yatakayowapa nguvu ya kupambana zaidi na kuvuka mipaka ya Tanzania.

Washiriki K**a na wengine wengi wameshiriki mashindano nje ya nchi na hata kushinda Ila hapa ndani wanakosa kuwa na Shindano.

Wanajiandaa kwa gharama Ila wananufaisha nchi nyingine tu. Tunakuomba mkuu, uupige mwingi K**a mama anavyoupiga mwingi, bajeti ndogo tu itatutosha kuendesha na kwenye kuandaa haya mashindano.

Mimi k**a mdau ninaye support huu mchezo nakuomba UWAKUMBUKE Vijana hawa maana wameachwa tu.
(bodi) ipo Ila bado ufanyaji wake wa kazi umekua wa kusuasua mno, kuna Mwaka unapita hamna mashindano kwa kukosa wadhamini tu. Tusaidie hata kuwatafuta hao wadhamini mkuu, wewe K**a kijana mwenzetu tutengenezee njia bora maana hapo awali viongozi wamewaacha vijana hawa bila msaada.

Ni hayo tu.
Ni Mimi mdau wa mchezo wa utunishaji misuli Tanzania

Being shredded is a goal 💪The shark       🇹🇿
15/05/2024

Being shredded is a goal 💪
The shark
🇹🇿

Keep Grinding for the best version of yourself                         🇹🇿
02/05/2024

Keep Grinding for the best version of yourself

🇹🇿

Address

Dar-es-Salaam Road, Morogoro
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255624863685

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania muscle posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Tanzania muscle:

Share