07/02/2025
✅ DEAL DONE!!
Nuno Mendes amesaini mkataba mpya katika klabu ya Paris Saint-Germain.
Ambapo mkataba huo utamfanya asalie katika viunga vya PSG kwa miaka mitano ijayo.
Huku Nuno akiwa ni miongoni mwa wachezaji wanaolipwa pesa nyingi ndani ya klabu hiyo ya PSG huku mshahara wake sasa ukiboreshwa na mkataba mrefu zaidi kwa beki huyo wa kushoto wa Ureno licha ya kuhusishwa na vilabu vingi vya EPL.