Lugano Israel Mwakyeja

Lugano Israel Mwakyeja Lugano Israel,

HII PAGE IMEJIKITA KWENYE MAMBO YA MICHEZO NA MATUKIO YAKE

Mbinguni kunawatu wanadhani tunaenda kwakwenda kanisani wakati wapo wanaenda kwa mazoea na kuwaridhisha watu kwamba waon...
27/05/2026

Mbinguni kunawatu wanadhani tunaenda kwakwenda kanisani wakati wapo wanaenda kwa mazoea na kuwaridhisha watu kwamba waone kwamba unaendaga kanisani kwahiyo unakuta watu wengi wanajazana makanisani lakini Hawana uhalisia wa mtu aliemfata Mungu k**asehemu ya kuongea na Mungu.
Ebu niulize wewe unaendaga kwenye nyumba ya Mungu ukiwa na msingi gani?.....
(a)K**a mtoko wa siku kwasababu huna pa kwenda.
(b)Kuwaridhisha wazazi au ndugu kwasababu wanafurahi na wanataka uwe Unaenda kanisani
(c)Unaenda kuzungumza na Muumba wako na kumpa haja zako na kutaka majibu Yako pamoja kumshukuru na kumwomba Mungu.
(d)Unaenda kwasababu ni wajibu au unaipambania dini?...
(e)Unaenda kwasababu unataka mchumba au mke
(f) Kwasababu ndio safari ya Mbinguni na kuishi kwa tumaini la Uzima

Kumbukumbu ya kombe la dunia ambalo lilipita Tanzania kabla mashindano hayajaanza kuchezea Qatar hii ni kumbukumbu inayo...
27/05/2026

Kumbukumbu ya kombe la dunia ambalo lilipita Tanzania kabla mashindano hayajaanza kuchezea Qatar hii ni kumbukumbu inayodumu siku k**a ya Leo Uwanja wa mkapa.
Nimesahau picha nilipigwa na nani!!
hii hivi tulikuwa wote taifa? ? ......

18/05/2026
Mzee wa black and white Sport's Knockout na Ally Kamwe   baada ya kipindi Mjini Fm 92.5 Dar es salaam.Muhubiri 9:11  som...
09/05/2026

Mzee wa black and white Sport's Knockout na Ally Kamwe baada ya kipindi Mjini Fm 92.5 Dar es salaam.

Muhubiri 9:11 soma hapo utajifunza kitu

Follow Instagram

Tumekutana na Ally Kamwe kwenye Sports KnockOut nampua yanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Domo langu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nchi ngumu sana hii
08/05/2026

Tumekutana na Ally Kamwe kwenye Sports KnockOut nampua yanguπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Domo langu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nchi ngumu sana hii

Hapo Vipi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
04/05/2026

Hapo Vipi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Israel Patrick Mwenda kwani kimetokea Nini?!! Mbona Mimi sikuona k**anumecheza vibaya ila niliona kadi ya njano tuuu kwa...
03/05/2026

Israel Patrick Mwenda kwani kimetokea Nini?!! Mbona Mimi sikuona k**anumecheza vibaya ila niliona kadi ya njano tuuu kwani ndo unalaumiwa nayo?......
πŸ«ͺπŸ«ͺπŸ«ͺπŸ«ͺπŸ«ͺ
Sio kweli labda k**a kunatukio lingine ambalo sikuliona

No Caption?......Mungu alisema usiogope!! Binadamu yoyote asikutishe k**a una Mungu muumba mbingu na na nchi na vilivyom...
03/05/2026

No Caption?......
Mungu alisema usiogope!! Binadamu yoyote asikutishe k**a una Mungu muumba mbingu na na nchi na vilivyomo!! Amesema usiogope,K**a Musa alipita bahari ya sham na Jeshi la wamisribliliangamia nani atakuogofya tena?!!!
K**a Daniel alitoka mzima kwenye tundu la Simba nani atakuwa hatari kwako?.......
Don't fear any more!!...

01/05/2026
Kufanikiwa ni nini?Mafanikio yanapimwaje?Kukua ni nini?Kukua kunspimwaje?......Kwenye maisha yako usitafute Umaarufu taf...
22/04/2026

Kufanikiwa ni nini?
Mafanikio yanapimwaje?
Kukua ni nini?
Kukua kunspimwaje?......

Kwenye maisha yako usitafute Umaarufu tafuta kuwa na brand!!
ni nini?
πŸ‘‰Umaarufu ni mzigo kwenye maisha
πŸ‘‰Brand ni value kwenye maisha
Swali Chagua kimoja pesa na furaha
πŸ†Furaha ni kombe lililojaa Ushindi wa vitu vyote
πŸ’΅Pesa nijibu la mambo yote lakini sio garantii yakuwa na furaha.
Andika hapa Unataka HELA au FURAHA?.....

Follow

Address

P. O. BOX 71476
Dar Es Salaam
20200

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lugano Israel Mwakyeja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category