YANGA champion 30

YANGA champion 30 ~timu ~ya~wananchi

kuwa wa kwanza kupata habari za yanga Kila siku

Karibu sana kwa huduma bora kutoka Alhabiby – Wauzaji wa Magodoro Imara πŸ›οΈTunakulethea magodoro original moja kwa moja k...
29/03/2026

Karibu sana kwa huduma bora kutoka Alhabiby – Wauzaji wa Magodoro Imara πŸ›οΈ

Tunakulethea magodoro original moja kwa moja kutoka kiwandani kwa bei nafuu sana – jumla na rejareja!

πŸ”₯ OFa Maalum: Nunua godoro kwetu upate zawadi ya mito 2 BURE au neti BURE (chagua moja)

🚚 Usafiri NI BURE kwa wakazi wote wa Dar es Salaam
πŸ’° Malipo ni baada ya mzigo kufika (Lipa baada ya kuona bidhaa)

βœ”οΈ Ubora wa hali ya juu
βœ”οΈ Huduma ya uhakika na ya haraka
βœ”οΈ Tunajali usingizi wako na afya yako

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa:
Simu: 0685 946 31 au 0653548794

Alhabiby – Chaguo sahihi la usingizi bora!

24/02/2026
⏱️ FT – NBC PREMIER LEAGUE 25/26πŸ”° YANGA 6️⃣ 🦍 MASHUJAA 0οΈβƒ£βš½ Wafungaji wa Yanga:⚽ Camara⚽ Abuya⚽ Pacome⚽ Dube⚽ Mudathir⚽ ...
19/01/2026

⏱️ FT – NBC PREMIER LEAGUE 25/26

πŸ”° YANGA 6️⃣ 🦍 MASHUJAA 0️⃣

⚽ Wafungaji wa Yanga:
⚽ Camara
⚽ Abuya
⚽ Pacome
⚽ Dube
⚽ Mudathir
⚽ Dep
πŸ’šπŸ’› Karamu ya magoli Jangwani!
Mashujaa wamechoka, Yanga wanazidi kushambulia πŸ’₯

*Kocha Wa Makombe πŸ†*K**a Unamkubali Kocha Wetu weka mauwa yakijani na Njano MwananchiπŸ”°πŸ”°
14/01/2026

*Kocha Wa Makombe πŸ†*

K**a Unamkubali Kocha Wetu weka mauwa yakijani na Njano MwananchiπŸ”°πŸ”°

🚨 MSHERY SHUJAA, YANGA WAMESHINDA UBINGWA WA MAPINDUZI ✍️Watakusanya ndoo ngapi msimu huu!?
13/01/2026

🚨 MSHERY SHUJAA, YANGA WAMESHINDA UBINGWA WA MAPINDUZI ✍️

Watakusanya ndoo ngapi msimu huu!?

Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar
12/01/2026

Heri ya Siku ya Mapinduzi ya Zanzibar


01/01/2026

πŒπ”π‹π„πŒπ‡πŽπ‹π€ π–π€ππ€ππ‚π‡πˆπŸ”° Msukuma Mohamed Camaro Amefika 🀩πŸ’ͺ.


Fundi wa Mpira Emmanuel Mwanengo is now green and YellowπŸ”°πŸ’ͺ
30/12/2025

Fundi wa Mpira Emmanuel Mwanengo is now green and YellowπŸ”°πŸ’ͺ

23/12/2025

NIGERIA VS TANZANIA

Address

Ilala
Dar Es Salaam
ILALA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YANGA champion 30 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to YANGA champion 30:

Share