Tanzania citizens - "man city"

Tanzania citizens - "man city" OFFICIALS MAN CITY SWAHILI SUPPORTERS CLUB TANZANIA

Kijana amependeza kweli kweli ndani ya u*i wa Man City. Bila shaka ndoto zake pia zimesha timia za kujiunga na City sasa...
26/08/2026

Kijana amependeza kweli kweli ndani ya u*i wa Man City. Bila shaka ndoto zake pia zimesha timia za kujiunga na City sasa ni wakati wake kudhibitisha ubora wake.

Ushindi wakwanza ndani ya Manchester City kwa Enzo Maresca.
24/08/2026

Ushindi wakwanza ndani ya Manchester City kwa Enzo Maresca.

Natamani Siku zingerudi nyuma pale ManchesterCity.
20/08/2026

Natamani Siku zingerudi nyuma pale ManchesterCity.

Manchester City tutakutana na Chelsea katika mchezo wa Fainal ya kombe la FA Cup. //
26/04/2026

Manchester City tutakutana na Chelsea katika mchezo wa Fainal ya kombe la FA Cup.

//

Ruben Dias,  Hatakuwepo katika kikosi cha Manchester City kitakacho pambana dhidi ya Arsenal jumapili hii.... na atakuwa...
17/04/2026

Ruben Dias, Hatakuwepo katika kikosi cha Manchester City kitakacho pambana dhidi ya Arsenal jumapili hii.... na atakuwa nje kwa wiki mbili zijazo.

Wafanyakazi wa Manchester City wamefichua kuwa beki huyo hatarajiwi kurejea kwa wakati na wanaami atakosekana kwa mwezi huu wote.

//

πŸ“Έ Picha kutoka kwenye mazoezi yetu ya jana ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Arsenal.Kila mchezaji ameonekana akiwa na fur...
17/04/2026

πŸ“Έ Picha kutoka kwenye mazoezi yetu ya jana ya kujiandaa na mchezo dhidi ya Arsenal.

Kila mchezaji ameonekana akiwa na furaha usoni.

//

MECHI YETU IJAYO:πŸ†šοΈ Arsenal πŸ† Ligi Kuu England 🏟 Etihad Stadium ⏰ Saa 12:30 jioniπŸ—“ 19/4/2026  //
16/04/2026

MECHI YETU IJAYO:

πŸ†šοΈ Arsenal
πŸ† Ligi Kuu England
🏟 Etihad Stadium
⏰ Saa 12:30 jioni
πŸ—“ 19/4/2026

//

Takwimu za Bernardo Silva ndani ya Manchester City:β–  Michezo      451β–  Magoli         76β–  Assist          77  //
16/04/2026

Takwimu za Bernardo Silva ndani ya Manchester City:

β–  Michezo 451
β–  Magoli 76
β–  Assist 77

//

πŸ“Έ Bernardo Silva   //
16/04/2026

πŸ“Έ Bernardo Silva

//

Address

0000
Dar Es Salaam
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania citizens - "man city" posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category