World football sports

World football sports Kuhusu habari za michezo na burudani ndani ya world football sports kila siku habari za uhakika na z

๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Ibra Bacca is here to Stay!!Beki wa Yanga,Ibra Bacca,ameongeza mkataba wa miaka miwili  Yangaโœ…
22/07/2026

๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Ibra Bacca is here to Stay!!

Beki wa Yanga,Ibra Bacca,ameongeza mkataba wa miaka miwili Yangaโœ…

Anicet Oura has been included in Simba SCโ€™s squad list for the CECAFA Kagame Cup tournament in Kigali. ๐Ÿ”ดโšช   world footba...
21/07/2026

Anicet Oura has been included in Simba SCโ€™s squad list for the CECAFA Kagame Cup tournament in Kigali. ๐Ÿ”ดโšช


world football sports
like and share for more information and truth

๐‚๐จ๐ง๐Ÿ๐ข๐ซ๐ฆ๐ž๐. || ๐Ÿšจ ๐“๐‡๐‘๐Ž๐–๐๐€๐‚๐Š: ๐’๐ข๐ฆ๐›๐š ๐’๐‚ shattered the Tanzanian transfer record by signing ๐€๐ฒ๐จ๐ฎ๐› ๐‹๐š๐ค๐ซ๐ž๐ from ๐…๐€๐‘ ๐‘๐š๐›๐š๐ญ for โ‚ฌ...
21/07/2026

๐‚๐จ๐ง๐Ÿ๐ข๐ซ๐ฆ๐ž๐. || ๐Ÿšจ ๐“๐‡๐‘๐Ž๐–๐๐€๐‚๐Š: ๐’๐ข๐ฆ๐›๐š ๐’๐‚ shattered the Tanzanian transfer record by signing ๐€๐ฒ๐จ๐ฎ๐› ๐‹๐š๐ค๐ซ๐ž๐ from ๐…๐€๐‘ ๐‘๐š๐›๐š๐ญ for โ‚ฌ๐Ÿ๐Œ over ๐“๐’๐‡ ๐Ÿ.๐Ÿ” ๐๐ข๐ฅ๐ฅ๐ข๐จ๐ง making the ๐Ÿ๐Ÿ•-๐ฒ๐ž๐š๐ซ-๐จ๐ฅ๐ Moroccan the most expensive signing in ๐๐๐‚ ๐๐ซ๐ž๐ฆ๐ข๐ž๐ซ ๐‹๐ž๐š๐ ๐ฎ๐ž history. Meanwhile, when president ๐Œ๐จ ๐ƒ๐ž๐ฐ๐ฃ๐ข revealed the total outlay exceeded ๐“๐’๐‡ ๐Ÿ๐ŸŽ ๐๐ข๐ฅ๐ฅ๐ข๐จ๐ง, fans called him a liar, convinced the figure covered just one player failing to grasp it included Lakred's wages, bonuses and multiple other signings that window. Furthermore, this blockbuster deal from August ๐Ÿ๐ŸŽ๐Ÿ๐Ÿ‘ redefined what was possible in Tanzanian football, proving the Msimbazi giants could financially compete with North African powerhouses even if the price tag left supporters in complete shock. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฆโšฝ๐Ÿฆ๐Ÿ’ฐ
| | |

mtaje k**a unamjua weka namba ya simu upate zawadi yako kutoka world football sports
21/07/2026

mtaje k**a unamjua
weka namba ya simu upate zawadi yako kutoka
world football sports

18/07/2026

Kwa Jesse John โ€“ Nimetambuliwa sasa hivi k**a mmoja wa mashabiki wake bora!

SURA SIO ROHOAllan okello ni kiungo mshambuliaji kutoka Uganda umbo lake na sura unaeza kudhani mchezaji wa kawaida laki...
18/07/2026

SURA SIO ROHO
Allan okello ni kiungo mshambuliaji kutoka Uganda umbo lake na sura unaeza kudhani mchezaji wa kawaida lakin amebeba kipaji kikubwa ambacho ni tunu kwa timu yake ya Sasa young Africans na timu ya Taifa ya Uganda
Amezaliwa 4 July 2000 kipaji chake alianza kukionesha alipojiunga na KCCA mwaka 2016
ambapo alionesha kiwango bora na kusajiliwa na Paradao Ac ya huko Algeria mwaka 2021
na baadae alirudi KCCA kwa mkopo baada ya mkataba wake na Paradao kumalizika alijiunga na vipers k**a mchezaji huru mwaka 2023
hapo alionesha kiwango bora zaid kilichofanya aitwe timu ya Taifa Uganda katika timu ya Taifa alionesha kiwango bora Sana mpaka kuwavutia baadhi ya timu hapa Africa

katika dirisha dogo la usajili msimu wa 2025-2026 aligombaniwa na miamba ya soka nchini Tanzania Simba sports na young Africans
hata hivo ni young Africans waliofanikiwa kuinasa Saini yake huku akipata ushawaish mkubwa zaid kutoka kwa rais wa timu ya Young Africa Engineer Hers Said
Baada ya Kutua jangwani ameonesha kiwango kikubwa sana akiwa ni adui wa magolkipa Kwan ameweka kambani magoli 14 katika ligi ya NBC kwa kipind cha muda mfupi tangu asajiliwe na kuifanya timu hiyo iendelee kutamba mbele ya watani wao simba kwa kubeba ubingwa wa tano mfululizo .. je unaona Okello akiendelea kuoneaha kiwango bora msimu ujao ??

Mzamiru Yasin said ameachana rasmi na simba baada ya kumaliza mkataba wa kuitumikia timuhiyo Mzamiru Yasin amesajiliwa n...
18/07/2026

Mzamiru Yasin said ameachana rasmi na simba baada ya kumaliza mkataba wa kuitumikia timuhiyo

Mzamiru Yasin amesajiliwa na simba mwaka 2016 akitokea Mtibwa sukari ni usajili ambao uliwanuafaisha simba kwa kipindi cha muda mref kwani aliteka hisia za mashabiki wa mpira hapa Tanzania na hata nje ya Tanzania kwa uwezo wake wa kushika vyema dimba la kati k**a kiungo namba nane na wakati mwingne Namba sita

Mzamiru Yasin ni miongoni mwa wachezaji walioacha alama kubwa ndani ya simba Kwan baada ya usajili wake alionesha kiwango bora na hata kujituma kwa nidham kubwa hali ambayo ilipelekea mpaka kufikia kupewa jina la kiungo punda ikiwa na maana mchezaji ambae anafanya kazi kubwa uwanjani
hakika simba imetambua vyema mchango wake na inampa shukran za dhati mchezaji huyo

Karibuni kwa habari za michezo na burdani
17/07/2026

Karibuni kwa habari za michezo na burdani

16/07/2026
Kahata kutua yanga ni suala la muda tu engineer Hers said afunguka kila kitu .Kwa habari za michezo na burudani like she...
19/05/2021

Kahata kutua yanga ni suala la muda tu engineer Hers said afunguka kila kitu .

Kwa habari za michezo na burudani like shea post zetu Basi baada ya muda utajua kila tukio linapojiri

Address

Abidinirhasani@gmail. Com
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when World football sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share