Sports Datum

Sports Datum Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Sports Datum, Sports, Dar es Salaam.

Ni ukurasa maalumu wa kimichezo ambao umejikita katika kutoa taarifa/habari za kimichezo k**a vile ratiba,matokeo,uchambu*i,tetesi za usajili ulimwenguni pamoja na makala mbalimbali kuhusu wachezaji,timu zao na maisha ya nje na michezo yao kwa ujumla.

09/04/2023

WE ARE BACK SPORT Sports Datum

Ratiba ya Simba SC mwezi wa 10
01/10/2022

Ratiba ya Simba SC mwezi wa 10

Sasa rasmi fainali ya Caf champions ligi ni baina ya WYADAD AC na AL AHLY
14/05/2022

Sasa rasmi fainali ya Caf champions ligi ni baina ya
WYADAD AC na AL AHLY

Rasmi sasa klabu ya Liverpool ni mabingwa wapya wa michuano ya   ambayo inatimiza miaka 150Huku kocha mkuu wa klabu hiyo...
14/05/2022

Rasmi sasa klabu ya Liverpool ni mabingwa wapya wa michuano ya ambayo inatimiza miaka 150

Huku kocha mkuu wa klabu hiyo akiwa mjerumani wa kwanza kushinda kombe hilo.

Makombe mawili kibindoni kati ya manne anayoshiriki
Carabao cup✅
Emirates FA✅
UEFA champions
EPL

Follow us as kwa taarifa zaidi za kimichezo

MATCH DAY:Chelsea vs Liverpool 🏟Wembley🕒18:45 E.A.TFollow Sports Datum]]  Sports Datum]]  Sports Datum]]
14/05/2022

MATCH DAY:

Chelsea vs Liverpool
🏟Wembley
🕒18:45 E.A.T

Follow Sports Datum]] Sports Datum]] Sports Datum]]

Mshambuliaji wa klabu ya PSG pamoja na timu ya taifa ya Brazil Neymar Jr de Santos awataja wachezaji watano ambao ni maf...
14/05/2022

Mshambuliaji wa klabu ya PSG pamoja na timu ya taifa ya Brazil Neymar Jr de Santos awataja wachezaji watano ambao ni mafundi zaidi yake.

1. Lionel Messi
2. Eden Hazard
3. Kevin de Bruyne
4. Marco Verratti
5. Thiago Alcantara

Tupe maoni yako kuhusu mtazamo huu

Klabu Juventus alimaarufu k**a vibibi vya turini inayoshiriki ligi kuu ya Italia wamezindua jezi yao mpya ya nyumbani wa...
13/05/2022

Klabu Juventus alimaarufu k**a vibibi vya turini inayoshiriki ligi kuu ya Italia wamezindua jezi yao mpya ya nyumbani watakayoitumia msimu mpya wa 2022-23. ⚫️⚪

Unaipa asilimia ngapi?

Klabu ya AS Roma inayoshiriki ligi kuu Italia wameutambulisha u*i wao wa nyumbani watakaoutumia msimu wa 2022-23Je unaup...
13/05/2022

Klabu ya AS Roma inayoshiriki ligi kuu Italia wameutambulisha u*i wao wa nyumbani watakaoutumia msimu wa 2022-23

Je unaupa asilimia ngapi?

Klabu ya AC Monaco inayoshiriki ligi kuu ya ufaransa imetambulisha u*i wao wa nyumbani(Home kit) watakaoutumia msimu wa ...
13/05/2022

Klabu ya AC Monaco inayoshiriki ligi kuu ya ufaransa imetambulisha u*i wao wa nyumbani(Home kit) watakaoutumia msimu wa 2022-23

Je unaupa asilimia ngapi?

IT'S  NORTH LONDON DERBY TOTENHAM HOTSPUR VS ARSENAL🏟Totenham hotspur stadium🕒21:45 E.A.TFollow   kwa habari zaidi za mi...
12/05/2022

IT'S NORTH LONDON DERBY

TOTENHAM HOTSPUR VS ARSENAL

🏟Totenham hotspur stadium
🕒21:45 E.A.T

Follow kwa habari zaidi za michezo duniani

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sports Datum posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share

Category