18/08/2026
Nyota wengi wa soka la Tanzania wamempongeza gwiji la Soka, Jonas Mkude 'Nungunungu' Kwa kujiunga na Mashujaa FC wana Mapigo na Mwendo.
Baadhi ya nyota hao ni Nickson Kibabage, Dickson Job, Kibwana Shomari, Simon Msuva, John Bocco na Denis Nkane.