YWGA TAWI

YWGA TAWI TAWI LA YANGA WHATSAPP GROUP ADMINS ( YWGA )๐Ÿ’›๐Ÿ’š
(1)

 happy birthday๐ŸŽ‚ Toto ya   Tariq ๐ŸŽ‚
09/04/2023


happy birthday๐ŸŽ‚ Toto ya Tariq ๐ŸŽ‚

Happy birthday๐ŸŽ‚Tariq Rufe Jr.....Mwanachama wa   enjoy your day Toto yetu๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ–ค
09/04/2023

Happy birthday๐ŸŽ‚
Tariq Rufe Jr.....Mwanachama wa enjoy your day Toto yetu๐Ÿ’š๐Ÿ’›๐Ÿ–ค

MATCH DAY
08/04/2023

MATCH DAY

๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
07/04/2023

๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

04/04/2023



Mambo yamepamba motooooooHukuuuuu๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡
12/02/2023

Mambo yamepamba motoooooo
Hukuuuuu
๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡๐Ÿ˜‡

Leo ndo siku yetu ya kukutana pamoja na kuyajenga mambo yetu kwa maendeleo ya tawi letu na club yetu kw ujuml
12/02/2023

Leo ndo siku yetu ya kukutana pamoja na kuyajenga mambo yetu kwa maendeleo ya tawi letu na club yetu kw ujuml

  ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ
16/01/2023



๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ๐Ÿ’ฅ

15/01/2023


SAVE DATE MWANACHAMA WA TAWI
15/01/2023

SAVE DATE MWANACHAMA WA TAWI

Thank you .songne
14/01/2023

Thank you .songne


  โ€”โ€”Mambo 10 usioyajua, Usajili wa Musonda1: Musonda ni Top Scorer wa Ligi ya Zambia. Mechi 17, Mabao 11. Ni mshambuliaj...
14/01/2023


โ€”โ€”
Mambo 10 usioyajua, Usajili wa Musonda

1: Musonda ni Top Scorer wa Ligi ya Zambia. Mechi 17, Mabao 11. Ni mshambuliaji kinara wa Power Dynamos, ambayo inaongoza Ligi.

2: Power Dynamos ni klabu imara kiuchumi. Inadhaminiwa na kampuni moja kubwa ya kufua umeme pale Zambia. Ni msimu huu wamedhamiria kumaliza ukame wao wa mataji wa miaka 12. Kwanini wamefanya Deal kubwa hivi na Yanga?

3: Sifa ziende kwanza kwa Rais Eng Hersi Said ๐Ÿ‘ Kwanini? Kwanza, elewa kuwa TP Mazembe pia waliingia kwenye vita hii. Wanataka kuimarisha kikosi chao kwa ajili ya michuano ya Kimataifa, waliweka dau kubwa pia mezani.

4: Lakini Musonda โ€˜optionโ€™ yake ilikuwa Yanga. Kwanini? Wakati Mazembe wakiwasiliana kwa Email, Rais Hersi aliacha usingizi wake na kutafuta ndege usiku na kutua Kitwe, mazungumzo na Dynmos yakawa uso kwa uso. Bao la kwanza likaanzia hapo.

5: Nguvu ya ushawishi, nguvu ya Hela kwenye meza ya mazungumzo ikawa silaha kubwa kwa mbele ya Dynamos na kukubali kumuuza mshambuliaji wao hatari.

6: Kuipiku Mazembe kwenye Usajili, ambao ni wapo kundi moja na Yanga kwenye kombe la shirikisho la CAF, Ni ishara ya Uongozi wa Yanga kumaster sanaa ya Soka la Afrika kuanzia nje ya uwanja.

7: Nini kimemfanya Musonda aikubali Yanga na sio Mazembe? Mradi wa Yanga ni mkubwa, na bila shaka kila mchezaji mkubwa angetamani kuwa sehemu ya mradi huu mkubwa.

8: Kumbuka, Musonda ameacha ndoto zake za kubeba kiatu cha ufungaji bora Zambia na kuja Yanga, sio jambo dogo kwa mchezaji kulifanya hili. Kuna kazi kubwa imefanywa na Rais wa Yanga๐Ÿ‘

9: Kitendo cha Yanga kuingia kwenye vita ya usajili ya vigogo wa Afrika ni ushindi pia kwa Ligi yetu ya Tanzania. Hersi ameiheshimiwa Ligi yetu na kuipa thamani kubwa. Hii deals itakuwa imefanya mawakala na wachezaji wengi wakubwa wajiulize kuna nguvu gani Tanzania.

10: Mashabiki wa Dynamos hawajaelewa ni nini kimetokea. Waandishi na mitandao ya Zambia imejadili kwa mshangao usajili huu. How is it Possible? Hawaamini k**a Dynamos wameuza silaha yao kwa Yanga. Wakati wao wakishangaa, Wananchi wanafuraha ๐Ÿคฉ

Nb: Zurureni tu, Ihefu ๐€๐ญ๐š๐ฐ๐š๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ๐ฅ๐ข๐š๐Ÿ˜€

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when YWGA TAWI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category