George Ambangile

George Ambangile 󱢏 Kwa Uchambuzi SUBSCRIBE YouTube link hapo chini

https://www.youtube.com/channel/UCsvfVjuhhTHCAr

11/06/2026

Mwakinyo 🗣️ "Napenda ni nitoe pole za maumivu kwa wote mulio umizwa au kuto elewa kilicho tokea jana siyatetei matokeo ya kupoteza kwangu na siumii sababu ndio game kinacho niumiza zaidi ni mimi kua week kiasi cha kushindwa kujitetea hata namna ya upiganaji wangu haukua ule mlio uzoea ilikua ni game tough ambayo niliweka bidii zangu kwenye mazoezi ya nguvu sana na ndio game ambayo nilicheza nikiwa niko week na mwepesi sana yote kwa yote ni matokeo tu na hakuna budi kupokea.

24/05/2026

🚨🏆 ARSENAL MABINGWA WA EPL 2025-2026

#

24/05/2026

ENGLAND NI NYEKUNDU.

24/05/2026

Kikosi cha Timu ya Taifa taifastars_ kitakachocheza michezo miwili ya kirafiki kwenye kalenda ya FIFA

20/05/2026

ASTON VILLA BINGWA WA UEFA EUROPA LEAGUE. 🏆

18/05/2026

𝐅𝐋𝐈𝐂𝐊 𝐕𝐒 𝐌𝐎𝐔𝐑𝐈𝐍𝐇𝐎 😍🍿

Hansi Flick ameongeza mkataba wake na Barcelona hadi 2028, huku José Mourinho akitarajiwa kusaini Real Madrid hadi 2028 wiki ijayo ⌛

𝗕𝗥𝗔𝗖𝗘 𝗬𝗢𝗨𝗥𝗦𝗘𝗟𝗩𝗘𝗦, 𝗟𝗔 𝗟𝗜𝗚𝗔 🤩

07/05/2026

MAKOCHA WALIOCHEZA FAINALI NYINGI CLUB BINGWA ULAYA.

23/04/2026

Comments ziwe fupifupi. Arsenal Bingwa. 🤣


22/04/2026

🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Chelsea FC imethibitisha kumfuta kazi kocha wake mkuu Liam Rosenior kutokana na mwenendo mbaya. 👋.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when George Ambangile posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category