10/08/2025
🚩 𝐒𝐎𝐌𝐀 𝐌𝐀𝐊𝐀𝐋𝐀 𝐇𝐀𝐘𝐀 𝐘𝐀 𝐌𝐈𝐂𝐇𝐄𝐙𝐎 (𝐓𝐚𝐫𝐢𝐟𝐚 𝐳𝐚 𝐔𝐬𝐚𝐣𝐢𝐥𝐢) 𝐙𝐈𝐋𝐈𝐙𝐎 𝐊𝐀𝐌𝐈𝐋𝐈𝐊𝐀 𝐁𝐀𝐑𝐀𝐍𝐈 𝐔𝐋𝐀𝐘𝐀 𝐒𝐈𝐊𝐔 𝐘𝐀 𝐉𝐀𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐌𝐀𝐌𝐎𝐒𝐈 𝐀𝐔𝐆𝐔𝐒𝐓 09.2025 👇👇
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Al Hilal wamemsaini mshambuliaji Darwin Núñez kutoka Liverpool kwa ada ya €53M!. ☑️🤍💙
Source: [ Al Hilal ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Al Ahli wamemsaini kiungo wa kati Enzo Millot kutoka Stuttgart kwa ada ya €28M!. ☑️🤍💙
Source: [ Al Ahli ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: KRC Genk wamemsaini Junya Ito kutoka Stade Reims kwa ada ya €2.8M!. ☑️🤍💙
Source: [ KRS Genk ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: FC Nantes wamemsaini mshambuliaji Amady Camara kwa mkopo wa msimu mzima na chaguo la kuongeza msimu mmoja zaidi kutoka Sturm Graz. ☑️🖤🧡
Source: [ FC Nantes ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Hull City wamemsaini mshambuliaji Joe Gelhardt kwa mkopo wa msimu mzima pamoja na chaguo la kuongeza msimu mmoja zaidi kutoka Leeds United. 🖤🧡
Source: [ Hull City ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: PSG wamemsaini Golikipa Lucas Chevalier kutoka LOSC Lille kwa ada ya €40M!. ☑️🤍💙🤑
Source: [ Paris Saint-Germain ] (psg).
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Sassuolo wamemsaini Beki Jay Idzes kutoka Venezia kwa ada ya €8M! ☑️🤍🧡🤑
Source: [ Sassuolo ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Strasbourg wamemsaini Beki Lucas Høgsberg kutoka Nordsjaelland kwa ada ya €15M!. ☑️🤍💙🤑
Source: [ Strasbourg ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Stade Brest wamemsaini Golikipa Radoslaw Majecki kwa mkopo na chaguo la kuongeza msimu mmoja zaidi kutoka AS Monaco. ☑️🤍🩵
Source: [ Stade Brest ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: West Ham wamemsaini Golikipa Mads Hermansen kutoka Leicester City kwa ada ya £18M!. ☑️🤍❤️💰
Source: [ West Ham United ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: RCD Mallorca wamemsaini mshambuliaji Mateo Joseph kwa mkopo wa msimu mrefu kutoka Leeds United. ☑️🖤🤍❤️
Source: [ RCD Mallorca ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Colorado Rapids wamemsaini Winger Alexis Manyoma kwa mkopo kutoka Estudiantes hadi July 2026. ☑️🤍❤️
Source: [ Colorado Rapids ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Fluminense wamemsaini Kiungo wa kati Luciano Acosta kutoka FC Dallas kwa ada ya €3.4M!. ☑️🤍❤️🤑
Source: [ Fluminense ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Ajax wamemsaini Beki Ko Itakura kutoka Borussia Monchengladbach kwa ada ya €10.5M!. ☑️❤️🤍🤑
Source: [ AFC Ajax ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: AS Monaco wamemsaini Golikipa Lukas Hradecky kutoka Bayer Leverkusen kwa €3M!. ☑️❤️🤍🤑
Source: [ AS Monaco ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Botafogo wamesaini Golikipa Neto kwa uhamisho wa bure kutoka Bournemouth. ☑️🤍💙
Source: [ Botafogo ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Man United imethibitisha kukamilisha usajili wa Mshambuliaji Benjamin Seško kutoka RB Leipzig kwa ada ya €76.5M! na nyongeza ya €8.5M! Kwa mkataba wa miaka Mitano hadi June 2030. ✅️🤍♥️🔐
Source: [ Manchester United ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya Losc Lille wamemsaini Beki Romain Perraud kutoka Real Betis kwa ada ya €3M!. ☑️❤️🤑
Source: [ Losc Lille ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Kiungo wa kati wa Valencia Javi Guerra amesaini mkataba mpya katika klabu hiyo, ametia saini kwa mkataba miaka Minne hadi June 2029. ☑️❤️🤍
Source: [ ]
🚨𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Klabu ya FC Köln Wamemsajili Beki Cenk Özkacar kwa mkataba wa Mkopo wa msimu mzima kutoka Valencia. ☑️🤍❤️
Source: [ FC Köln ]
FOLLOW US.