Vijana Tabora

Vijana Tabora Official page of Tabora Vijana Football Fc

Vijana tabora
08/06/2022

Vijana tabora

Changia timu yako pendwa ya vijana tabora kufanikisha ndoto za vijana.                           .kahula.1    .abdallah....
05/06/2022

Changia timu yako pendwa ya vijana tabora kufanikisha ndoto za vijana.

.kahula.1 .abdallah.771

Tunaitaka hatua nyingine ya mashindano tuna kikosi bora na tunaamini tunapita kwa uwezo wa MUNGU.        DRFA] DRFA]    ...
05/06/2022

Tunaitaka hatua nyingine ya mashindano tuna kikosi bora na tunaamini tunapita kwa uwezo wa MUNGU.

DRFA] DRFA]

Baadhi ya viongozi walihudhuria mchezo wetu dhidi stamina.
31/05/2022

Baadhi ya viongozi walihudhuria mchezo wetu dhidi stamina.

Hatimae wametuachia point 3 zetu      kituo kinachofuata .................... mjiandae vijana tunakuja  .kombo.9465     ...
31/05/2022

Hatimae wametuachia point 3 zetu kituo kinachofuata .................... mjiandae vijana tunakuja




.kombo.9465 @

Mazoezi ya mwisho ya kujiandaa na mchezo wetu wa kesho dhidi ya stamina fc Vijana wana hali nzuri na wapo tayari kwa mch...
30/05/2022

Mazoezi ya mwisho ya kujiandaa na mchezo wetu wa kesho dhidi ya stamina fc

Vijana wana hali nzuri na wapo tayari kwa mchezo

29/05/2022

Mchezaji bora wa mashindano ya ndondo cup kwa timu yetu katika mechi zote mbili
29/05/2022

Mchezaji bora wa mashindano ya ndondo cup kwa timu yetu katika mechi zote mbili

Address

MBURAHATI
Dar Es Salaam
14117

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vijana Tabora posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category