Dar yanga African timu:

Dar yanga African timu: Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Dar yanga African timu:, Sports Team, Dar es Salaam.

MUNGU ibariki yanga!MUNGU bariki wanayanga!Like&post, kwenye ukurasa wetu kile unachokifaham au kukijua kuhusu michezo h...
28/02/2017

MUNGU ibariki yanga!
MUNGU bariki wanayanga!
Like&post, kwenye ukurasa wetu kile unachokifaham au kukijua kuhusu michezo hususan yanga fc.....

HABARI MTz!!!.Furahia kuwa na kuishi na yanga leo!
28/02/2017

HABARI MTz!!!.
Furahia kuwa na kuishi na yanga leo!

Neno la kuponya lilokosa mdomo, kwangu ni k**a somo na kwenu ndo wazo la leo;I love yanga!!!,Stokuhama yanga!!!,Nitavumi...
28/02/2017

Neno la kuponya lilokosa mdomo, kwangu ni k**a somo na kwenu ndo wazo la leo;
I love yanga!!!,
Stokuhama yanga!!!,
Nitavumilia kuwa nawe yanga!!!,
Kwani! Kufungwa ni kawaida!!!,
Kwanin kila siku tufunge 2?!!,

Jaman k**a unakumbuka siku hii aliyofikwa na kiama huyu jamaa , furahi na tuungane kufurahia ushindi wa jana kwa kuandaa...
13/02/2017

Jaman k**a unakumbuka siku hii aliyofikwa na kiama huyu jamaa , furahi na tuungane kufurahia ushindi wa jana kwa kuandaa chai yako mezan mapemaaa,,,,,,

Like na comment yako itasaidia kujua una jumuika nasi kwa ushindi wetu,Hii no baada ya raha kuzidi kwenye mchezo dhid ya...
12/02/2017

Like na comment yako itasaidia kujua una jumuika nasi kwa ushindi wetu,
Hii no baada ya raha kuzidi kwenye mchezo dhid ya ngaya

MH!!! Balaaaa marudia tena balaaaWanaosha kweli kweli,Niliona noma hata kuingia fb kwa raha niliyoipata ila haina noma, ...
12/02/2017

MH!!!
Balaaaa marudia tena balaaa
Wanaosha kweli kweli,
Niliona noma hata kuingia fb kwa raha niliyoipata ila haina noma,
Leo tumewaweza,
K**a ww ni member wa yanga
Like and comment

Hii n siku waliyotua vijana wetu huko....
12/02/2017

Hii n siku waliyotua vijana wetu huko....

WAKIMATAIFA OYOOOOOO...E bhana e, ule mchezo tuliousubir kwa hamu umefika ni leo hivyo fanya kulike na kucomment, kisha ...
12/02/2017

WAKIMATAIFA OYOOOOOO...

E bhana e, ule mchezo tuliousubir kwa hamu umefika ni leo hivyo fanya kulike na kucomment, kisha majira ya alasir ujisogeze kwa runinga yako,.
""Patamu hapo""
Naitakia yanga ushindi mnono leo.
Asubuh njema

Kamwe! Hakuna ukikwama tutakuinuaaa!!!!!
08/02/2017

Kamwe! Hakuna ukikwama tutakuinuaaa!!!!!

Ubingwa wetu mwaka huu hivyo tujiandae kufurahia
08/02/2017

Ubingwa wetu mwaka huu hivyo tujiandae kufurahia

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dar yanga African timu: posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category